Radio Fadhila

Recent posts

1 July 2024, 8:29 AM

Upendo charity yahimiza jukumu la malezi ni jamii

Mkutano wa wanyeviti kata ya nyasa Katika mkutano wa wenyeviti wa kata ya Nyasa uliofanyika eneo la Maendeleo kwa lengo la kuwaaga wananchi wao katika kata ya Nyasa wilayani Masasi. Taasisi ya Upendo Charity ilipata nafasi ya kutoa elimu kwa…

22 June 2024, 5:47 PM

DC Masasi aongoza kikao cha dharura kujadili ugonjwa wa mlipuko

Mkuu wa Wilaya ya Masasi Lautel John Kanoni ameongoza kikao cha dharura kilichowakutanisha vyombo vya ulinzi na usalama wilaya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Afya Halmashauri ya Wilaya Masasi na kujadiliana kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa kuharisha na kutapika…

21 June 2024, 9:18 PM

RC Mtwara azungumza katika jukwaa la ushirika 2024

Mhe Kanali Patrick Sawala alizungumza Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe: Kanali Patrick Kenan Sawala amezungumza na viongozi wa vyama vya ushirika katika jukwaa la maendeleo ya ushirika yaliyofanyika 20/06/2024 katika ukumbi wa Police mess Mtwara. Lengo la jukwaa hilo…

6 June 2024, 7:49 PM

Mnzava aridhishwa utekelezaji wa miradi Masasi na kuizindua

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Ndg. Godfrey Eliakimu Mnzava amezindua miradi mitatu (3) na kuweka mawe ya msingi katika miradi miwili (2), kukagua na kuona miradi miwili (2) Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara. Mbio za Mwenge…

6 June 2024, 7:27 PM

Tuaminiane chapongezwa na mwenge wa uhuru

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa 2024 Ndg. Godfrey Eliakimu Mzava amekipongeza kikundi cha vijana cha Tuinuane kilichopo katika kijiji cha Mandiwa ambacho kinajihusisha na ufugaji wa ng’ombe na uuzaji wa maziwa kwa kutoka kukaa tu mitaani na…

22 May 2024, 1:34 PM

Viongozi wa vyama vya msingi wapigwa msasa

Wajumbe wapya wa bodi, mameneja, wajumbe wawakilishi pamoja na makarani wapya wa vyama vya msingi wakipatiwa mafunzo na kujengewa uwezo katika kazi na kukumbushwa majukumu yao. Na Lilian Martin Pamoja na kukumbusha juu ya majukumu yao katika kazi walipata nafasi…

20 May 2024, 10:02 PM

Waendesha pikipiki Masasi wapata elimu ya polisi jamii

Mkaguzi wa Polisi ametoa elimu ya polisi jamii kwa waendesha pikipiki yaani bodaboda katika kata ya Napupa mtaa wa Wapiwapi eneo la standi ya mabasi wilaya ya Masasi mkoani Mtwara. Elimu iliyotolewa na mkaguzi huyo Inspekta Saada katika eneo hilo…

3 May 2024, 7:42 PM

Baraza la madiwani lapokea na kujadili taarifa za kata

Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji Masasi chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Hashim Namtumba April 30, 2024 limepokea, kujadili na kupitisha taarifa za kata robo ya tatu, 2023/2024 katika mkutano wa Baraza la Madiwani Baraza hilo limepokea, kujadili na kupitisha…