Radio Fadhila

Recent posts

17 December 2021, 3:58 AM

Wanawake na wajane waiomba serikali kuwawezesha kujikwamua kiuchumi

Umoja wa Wanawake Wajane Nchini (CCWWT) chini ya Mwenyekiti wake Bi. Rabia Ally Moyo umeiomba Serikali ya awamu ya sita chini ya Mama Samia Suluhu Hassan kuwawezesha kiuchumi kwa kuwapatia mikopo itakayowawezesha kufanya shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Hayo yamesemwa katika…

17 December 2021, 3:50 AM

Taarifa kwa vyombo vya habari

  ikumbukwe tu tarehe 13/12/2021 katika Mahakama ya Wilaya ya Masasi, ilitolewa hukumu ya kesi namba ECC.10/2021  iliyokuwa ikiwakabili washitakiwa RASHID MTIMA na mwenzake. Washtakwa hao wanakabiliwa na makosa 02 kifungu cha 22 na 28 cha sheria ya TAKUKURU namba…

8 December 2021, 3:21 AM

Masasi-Kamati ya Lishe kuweka wazi bajeti yao.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Masasi Mji Eliasi Ntirihungwa ameitaka Kamati ya Lishe kuweka wazi bajeti yao, Kwani serikali inataka kujua wadau wa taasisi mbali mbali nao wamechangia kiasi gani cha fedha na kupata makadirio ya bajeti ya mwaka mzima ili…

8 December 2021, 3:17 AM

Shule ya Sekondari Chanika Nguo yajengewa vyumba vinne

Shule ya Sekondari Chanika Nguo yajengewa vyumba vinne vya Madarasa vyenye thamani ya Shilingi Milioni 80. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brigedia Jenerali Marko Gaguti wakati akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chanika Nguo pamoja na…

5 November 2021, 3:57 AM

warsha elekezi kwa Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Masasi

Asasi ya Kiraia ya @HakiElimu imeendesha warsha elekezi kwa baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara inayohusiana na uandaji wa bajeti yenye mlengo wa kijinsia ikiwemo kutambua usawa kati ya mtoto wa kike na wakiume. Warsha…