Radio Fadhila
Radio Fadhila
03/03/2026, 11:16

Ni kikao kazi ambacho Madiwani ambao ni wawakilisha wa wananchi katika maeneo mbalimbali wakijadiliana na kuidhinisha mipango ya kimaendeleo kwa pamoja
Na Lilian Martin.
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji Masasi limejadili kwa pamoja na kuidhinisha rasimu ya mpango na bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 yenye jumla ya shilingi Bilion 28.06
Wakati wa majadiliano hayo wametoa mchanganuo kuhusu makusanyo ya fedha kutoka maeneo mbalimbali ndani ya halmashauri
