Mufindi FM

Recent posts

18 July 2024, 17:22

Mapilya: Utafiti wa udumavu Iringa urudiwe

Na Jackson Machowa Kutokana na ongezeko la ufaulu wa wanafunzi mashuleni, Idara ya Elimu Sekondari Wilaya ya Mufindi imeiomba serikali na watafiti nchini kufanya mapitio ya hali ya udumavu wilayani hapa kwa kuwa inakinzana na hali halisi ya maendeleo ya…

17 July 2024, 16:26

Mashine ya kuchakata zaidi ya mazao 9 yawafikia wakulima Mufindi

Na Marko Msafili Mufindi Taasisi ya utafti wa mazao ya Kitropiki (CIAT), IMARA TECH, Taasisi ya utafti wa Kilimo (TARI), Taasisi ya ngano na Mahindi kwa kushirikiana na Taasisi ya kilimo masoko pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi wamefanya…

16 July 2024, 21:11

Wanaotegemea maji mto Ruaha wakumbukwa

MAFINGA. Na Bestina Nyangaro Takribani wananchi wapatao 3,200 wa kijiji cha Itimbo kata ya Rungemba halmashauri ya mji Mafinga wanatarajia kuondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kupata huduma ya maji ifikapo disemba mwaka huu 2024, ambapo mradi wa maji…

9 July 2024, 09:02

Mradi wa Maji wenye thamani ya Sh. Bil 48.6 Unasusua Mafinga

Na Bestina Nyangaro Mafinga WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano muungano wa Tanzania mh. Kassim Majaliwa amemuagiza waziri wa maji Juma Aweso, kukutana na mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 Mafinga, na kusimamia mradi huo ili ukamilike haraka,…

27 June 2024, 08:06

Waraibu 12 wa DAWA za kulevya wanapatiwa matibabu Iringa

MUFINDINa Witness Alex Wakati leo june 26, dunia ikiadhimisha siku ya mapambano dhidi ya dawa za kulevya, waraibu wapatao 12 wanaendelea kupata msaada wa kuacha kutumia dawa za kulevya katika Nyumba Ya Upataji Nafuu (Iringa Soba House) mkoani Iringa.JACKSON MACHOWA…

27 June 2024, 07:52

Mufindi DC yapata hati safi 2022/2023

Na Witness Alex Mufindi Mkuu Wa Mkoa Wa Iringa Mhe Peter Serukamba Ameipongeza Halmashauri Ya Wilaya Ya Mufindi Kwa Kupata Hati Safi Kutoka Kwa Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali (CAG) Kwa Mwaka Wa Fedha 2022/2023. Leo Juni…

Kuhusu Mufindi FM 107.3

MUFINDI FM MAFINGA 107.3
Mufindi FM Redio 107.3 Mafinga ni Redio iliyo Chini ya Kampuni ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mkoani iringa inayojulikana Kwa Jina la Mufindi Media Cooperation Company LTD. Mufindi FM Redio Ilianzishwa Mwaka 2021, Redio Isikilizwa Katika Mikoa ya Iringa na Njombe, Pamoja na Baadhi ya Wilaya Katika Mikoa ya Morogoro, Mbeya na Ruvuma.