Radio Tadio

Elimu

13 November 2023, 10:18 am

Wanafunzi kidato cha nne waanza mtihani wa taifa

Na mwandishi wetu Wanafunzi 572, 338 wa kidato cha nne kutoka shule 5,371 kote nchini wameanza mtihani wa taifa leo. Taarifa iliyotolewa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), imeeleza kuwa mwaka huu kuna ongezeko la watahiniwa 8, 633 sawa na…

12 November 2023, 7:43 pm

Wanafunzi 4953 kidato cha nne Bunda kuanza mtihani Nov 13

Wanafunzi wapatao 4953 kidato cha nne wanatarajia kuanza mtihani wa kuhitimu kidato cha nne wilayani Bunda kati yao wasichana ni 2470 na wavulana 2483. Na Adelinus Banenwa Wanafunzi wapatao 4953 kidato cha nne wanatarajia kuanza mtihani wa kuhitimu kidato cha…

9 November 2023, 8:05 am

Ujenzi wa Sekondari Bunda Mjini wafikia 85%

Ujenzi wa shule ya Sekondari ya Bunda Mjini unagharimu shilingi 584 mil chini ya mradi wa SEQUIP yafikia asilimia 85. Na Adelinus Banenwa Ujenzi wa shule ya Sekondari ya Bunda Mjini unagharimu shilingi 584 mil chini ya mradi wa SEQUIP…

8 November 2023, 3:35 pm

MEMKWA mkombozi kwa watoto Nagulo Bahi

Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Watoto Walioikosa MEMKWA ni moja ya jitihada za kufikia malengo ya maendeleo  endelevu hasa Elimu bora. Na Mariam Kasawa. Wakazi wa mtaa wa Nagulo Bahi Kata ya Bahi wametakiwa kujitokeza kuwaandikisha watoto kwaajili ya…

7 November 2023, 19:05

Wazazi waonywa kuwaozesha watoto kwa wachimba madini Chunya

Na Samweli Mpogole Wazazi na walezi wilaya ya Chunya wametakiwa kuacha tabia ya kuwafanyisha kazi watoto katika shughuli za uchimbaji madini na kuwaozesha wakiwa bado masomoni badala yake wawasimamie katika masomo yao. Wito huo umetolewa na Makamu Mwenyekiti wa halmashauri…