Radio Fadhila
Radio Fadhila
28/10/2020, 15:23
hawa ni baadhi wa wananchi walioko katika wilaya ya masasi wakishiriki katika zoezi la kupiga kura uchaguzi mkuu 2020 kumchagua mbunge raisi na madiwani
28/10/2020, 15:14
huyu ni mkuu wa wilaya ya masasi mh seleman mzee akipiga kura leoo hii kumchagua rais , mbunge na madiwani kati uchaguzi mkuu wa 2020
26/10/2020, 04:03
MSIMAMIZI wa Uchaguzi jimbo la Masasi mjini, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya mji Masasi, Gimbana Ntavyo( pichani katikati) amewataka Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi wa vituo vya kupigia kura jimbo hilo la Masasi mjini kwenda kufanya kazi zao…
20/10/2020, 11:04
Kurugenzi mtendaji wa chama Cha wanahabari wanawake (TAMWA) Bi Rose Reuben amewataka viongozi wa kidini,kimila,na manguli wa maswala ya kijinsia kushiriki a na vyombo vya habar kutoa elimu kuhusu elimu ya nafasi ya uongozi wa wanawake, Reuben ameyazungumza hayo wakati…
19/10/2020, 10:53
Mgombea uraisi kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF prf Ibrahim lipumba amefanya mkutano wa kampeni wilayani masasi katika eneo la uwanja wa fisi na kuzungumza na wakazi wa masisi prf lipumba aliwaahidi wananchi wa wilaya ya masasi endapo tu…
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara