Radio Fadhila
Radio Fadhila
21 November 2020, 5:18 AM
TUPO KATIKA MSIMU WA EMBE -Hii ni makala inayoelezea biashara ya embe kwa wanafunzi wa shule za msingi wengi wao wamekuwa wakikosa masomo kwa ajili ya kufanya biashara hii ya uuzaji wa embe wangine wakidai kuwa hufanya hivyo kwa ajili…
19 November 2020, 10:52 AM
Hizi ni baadhi ya changamoto na kelo zinazo wakuta wafanya biashara wa soko la sokosela mjini masasi wakizungumza na radio fadhila utawasikia wakibainisha changamoto hizo HOST- ASHA MSITAPHA
18 November 2020, 9:49 AM
KIPINDI CH UJASILIA MALI-huyu ni kijana anayejishugulisha na biashara ya chpsi anaelezea mafanikio aliyo yapata kupitia biashara ya chipsi baada tu ya kumalishule alifanya shuguli mbalimbali lakinia alipo amua tu kufanya biashara ya chipsi imemlipa anaendesha familia yake kupitia biashara…
17 November 2020, 5:44 AM
Maoni ya wasikilizaji Tangia uaze kutumia mitandao ya kijamii facebook ,inst, twitter you tube n.k imekusaidia nini mitandao hii katika maisha yako ya kila sikuHOST MATHEW MAGASHA
17 November 2020, 4:47 AM
November 17, 2020,nakukaribisha kusikiliza kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za magazeti ya leo HOST- MATHEW MAGASHA
11 November 2020, 11:59 AM
sikiliza makala inayozungumzia kitabu cha rais wa awamu ya tatu Benjamini William Mkapa na badhi ya hotuba zake alizo wahi zungumza enzi za uhai wake. katika kipindi cha watu mashuhuri
9 November 2020, 4:11 AM
Msikilize shAibu ambaye yeye ni mjasilia mali anajihusisha na utengenezaji wa mitungi ya kupandia maua amea amua kujiajili na kazi hii ndi inayompa kipato cha kujikimu yeye na familia yake HOST- MATHEW MAGASHA
3 November 2020, 11:51 AM
sikiliza maoni juu wa mada iliyokuwa izungumziwa katika kipindi cha amka na radio fadhila 95.0 fm JE NI KWELI BAADHI YA WAZAZI NI CHANZO CHA VIJANA KUINGIA KATIKA MAKUNDI MABAYA KAMA VILE MAKUNDI YA KIHARIFU, UVUTAJI BANGI,WIZI USHERATI N.K NINI…
2 November 2020, 4:12 AM
kipindi cha sheria utasikia mazungumzo na wanasheria wakizungumzia UMILIKI WA ARIDHI NA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARIDHI host-MATHEW MAGASHA
2 November 2020, 3:16 AM
KIPINDI cha watu mashuri hii leo utasikiliza harakati za kudai uhuru kutoka kwa Patrice Lumumba-Congolese politician and independence leader ikiwemo barua aliyo iandika kwa mkewe akiwa gerezani. host- Edwin Mpokasye
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara