Radio Fadhila
Radio Fadhila
19 June 2025, 9:37 AM
“Familia nyingi zinaamua kukaa kimya pindi mwanafamilia anapomfanyia ukatili mtoto aliyeko ndani ya familia hiyo, kwa kuhofia kuwa wakiripoti tukio hilo mwanafamilia huyo atachukuliwa hatua“ Na Neema Nandonde Jamii wilayani Masasi mkoani Mtwara imetakiwa kuacha kuficha matukio ya ukatili dhidi…
16 June 2025, 9:47 PM
Wazazi, walezi na jamii kwa ujumla wamekumbushwa wajibu wao kwa watoto kwa kuzitambua haki za mtoto ili kuwalinda dhidi ya ukatili na kuwapa haki zao za msingi Na Lilian Martin Katika maadhimisho ya mtoto wa Afrika yaliyofanyika Wilayani Masasi na…
14 June 2025, 3:24 PM
Mtafiti wa kilimo akitoa maelezo Katika kuifikia adhima ya serikali ya kuongez uzalishaji wa zao la kotosho kwa mwaka 2025-2026 hadi kufikia tani millioni 1 kwa mwaka 2029-2030 maafsa ugani wapewa mafunzo yatakayoleta tija kwa wakulima Na Lilian Martin Maafsa…
5 June 2025, 7:28 PM
Taka zinazozalishwa majumbani na viwandani, bado ni fursa kwa jamii, badala ya kuzitupa mtaani wanaweza kutengeneza mkaa mbadala ambao ni mzuri kwa afya ya binaadam na mazingira. Na Neema Nandonde Kutokana na kuanzishwa kwa kituo cha elimu ya mazingira kilichopo wilayani…
1 June 2025, 5:24 PM
Panya wanaoliwa si wale wanaoishi ndani ya nyumba bali wanaishi porini na wana lishe bora kutokana na kuharibu mazao ambayo mara nyingi wanakula viini ambavyo kitaalam ndivyo vina lishe. Na Neema Nandonde Kumekuwa na simulizi nyingi kuhusu vyakula vya asili…
1 June 2025, 4:54 PM
“Tatizo watanzania wengi wanatumia mazoea kwenye shughuli za kilimo, hili tumekutana nalo kwenye maeneo mengi nchini, wanavuna mahindi wanatupa chini (ardhini) kama njia ya kukausha, hii inasababisha uzalishaji fangasi wanaosababisha Sumukuvu” Na Neema Nandonde Jamii wilayani Masasi mkoani Mtwara imeshauriwa …
29 May 2025, 7:01 PM
Licha ya kuzaliwa akiwa mlemavu wa viungo Daisy hufanya shughuli zake kwa kutumia mikono na kutengeneza vitu mbalimbali ambavyo humfanya kumuingizia kipato. Na Lilian Martin Daisy Ajetu ni mama wa Familia anaishi Masasi mtaa wa Nyasa anajishughulisha na ubunifu wa…
20 May 2025, 8:46 PM
Na Lilian Martin Licha ya umri alionao, Bibi Stefania Mmole amekuwa akifanya shughuli mbalimbali hali inayomfanya kuwa na nguvu tofauti na watu wa umri wake wanaokaa bila kufanya mazoezi. Stefania Saidi Mmole mwenye umri wa miaka 89 mkazi wa Masasi…
19 May 2025, 11:28 AM
Mradi wa Kituo cha Biashara Masasi (Masasi Comercial Complex) umelenga kuboresha huduma kwa jamii na wafanyabiashara ndani na nje ya wilaya ya Masasi Na Neema Nandonde Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa mwaka 2025, Ismail Ali Ussi,…
17 May 2025, 5:39 PM
Kampeni ya NBC Shambani inatarajia kuanza rasmi juni 1 na itahitimishwa Julai 31 2025, ambapo wanaojihusisha na biashara ya kilimo ambao ni wateja wa NBC, watakaokidhi vigezo watapatiwa zawadi Na Neema Nandonde Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), imezindua rasmi …
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara