Radio Fadhila

Recent posts

21 April 2021, 12:24 PM

MAMCU wafanya mkutano mkuu wa 21 wa mwaka

WAKULIMA wa Chama kikuu Cha Ushirika wa wakulima Masasi-Mtwara( MAMCU) hii leo April 21 – 2021 wanafanya mkutano mkuu wa 21 wa mwaka wenye lengo la kuchagua viongozi wa bodi wa Chama hicho ikiwemo kusoma mapato na matumizi.   Mkutano huo…

21 April 2021, 11:57 AM

Nanyumbu imezindua rasmi mpango wa utekelezaji wa kunusuru kaya masikini

HALMASHAURI ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara imezindua rasmi mpango wa utekelezaji wa kunusuru kaya masikini kupitia mfuko wa maendeleoya jamii (TASAF III) kipindi cha pili, awamu ya tatu.Mpango huo ulizinduliwa jana wilayani Nanyumbu katika kikao kazi cha kujenga uwelewa…

20 April 2021, 5:05 AM

MAAFISA ugani( kilimo) wapatiwa Pikipiki

MAAFISA ugani( kilimo) wa Chama kikuu cha Ushirika wa wakulima Mtwara-Masasi ( MAMCU) wapatiwa Pikipiki kama vitendea kazi ili ziweze kuwarahisishia kutekeleza majumu yao katika kuvitembelea na kuvihudumia vyama vya msingi ili kutoa elimu ya kilimo kwa wakulima na kuongeza…

Mission And Vision

Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara