Radio Fadhila
Radio Fadhila
23/12/2022, 07:50
Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Cecil David Mwambe, ameshiriki hafla ya mapokezi ya Majengo Kwa ajili ya Shule ya Sekondari Mpanyani. Majengo hayo yaligarimu sh 460m yamekamulika na tayari wanafunzi 160 waliochaguliwa kuingia kidato Cha kwanza wataanza kuyatumia Kuanzia January…
19/12/2022, 07:06
WADAU WA SALAMU KANDA YA KUSINI WAFANYA MKUTANO WA MWAKA MJINI MANGAKA. Picha ya Pamoja baadhi ya Wadau wa Salamu Kanda ya Kusini, ambapo leo tar 17-12-2022 wamekutana Wilayani Nanyumbu Mjini Mangaka na Kujadiliana baadhi ya changamoto na namna ya…
19/12/2022, 06:56
ARGENTINA BINGWA WA KOMBE LA DUNIA 2022 Pale wazee waliposema ya kale ni dhahabu walimaanisha kabisa hasa ukizingatia kilichotokea kwenye kombe la dunia nchini Qatari historia imeandikwa takribani miaka thelathini na sita nchi ya Argentina kuhusu story ya ushindi wa…
17/12/2022, 06:58
WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Omary Suleiman alianza kuifungia Mtibwa Sugar dakika ya 78, kabla ya Peteme Counou…
16/12/2022, 10:19
Na Lawrence Kessy Waandishi wa Habari wa Kituo cha Radio Fadhila wamepata mafunzo ya jinsi ya kuandaana kuchakata habari za Mitandao ya Kijamii pamoja na kuzingatia maadili ya tasnia ya habari Mafunzo hayo yametolewa Alhamisi Desemba 15, 2022 na Amua…
09/12/2022, 06:23
Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Desemba 09, Mwaka huu, Mkuu wa Wilaya Bi. Claudia Kitta ameungana na Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali pamoja na Wananchi Wilayani hapa pamoja na kufanya usafi wa mazingira kwenye…
09/12/2022, 06:19
Mkuu wa Wilaya ya Masasi Bi Claudia Kita inayoadhimishwa terehe 09 Disemba kila mwaka ameongoza Bonanza la Mpira wa Miguu lililoambatana na Ugawaji wa vifaa vya usalama barabarani kwa Madereva pikipiki (bodaboda), Kofia ngumu (HELMET) na Jaketi maalum za kuvaa…
26/03/2022, 03:55
Mkuu wa wilaya ya masasi Claudia kitta amewapongeza viongozi wa Dini ya kiislamu wakiwemo viongozi wa BAKWATA kwa kuendelea kutoa ushirikiano na kushikamana na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo katika Wilaya na kuwataka wasiache moyo huo wa upendo. Kitta…
14/02/2022, 11:23
01/02/2022, 11:32
Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoano Mtwara imekabidhi Hundi ya Mikopo ya shilingi Milioni miamoja na hamsini na tano kwa vikundi 33 vya wanawake ,vijana ,na watu wenye ulemavu vilivyopo halmashauri hiyo . Makabidhiano hayo yamefanyika February 1, 2022, katika…
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara