Radio Fadhila

Recent posts

30/01/2023, 16:17

Upendo Charity yaguswa na tatizo la Salma

Kikundi kinachosaidia watu wenye uhitaji kilichopo Wilayani Masasi,Mkoani Mtwara, kinachofahamika kama Upendo Charity kimeguswa na tatizo la mtoto Salma Pascha Machemba, mwenye umri wa miaka tisa (9) ambaye anaishi Kijiji cha Matekwe Majenanga, huko Nachingwea Vijijini. Salma ni mlemavu wa…

30/01/2023, 12:31

Shule ya Msingi Mkuti B yapata Viongozi wapya

Shule ya Msingi Mkuti “B” Wilayani Masasi, imefanya Mkutano wake Mkuu wa Kwanza wa Shule hiyo na kuwachaguwa viongozi mbalimbali wa shule pamoja na kujadili ajenda za mipango ya maendeleo ya shule. Mkutano huo ambao umefanyika Shuleni hapo mapema wiki…

25/01/2023, 16:56

CHANGAMOTO YA MIUNDO MBINU YA ELIMU KATIKA SHULE YA MSINGI NAMAJANI.

Hali ya miundombinu ya elimu katika shule ya msingi namajani imekuwa ni changamoto kubwa mpaka sasa  shule ya msingi namajani inamadarasa manne tu, huku baadhi ya wanafunzi wakisoma  chini ya mti. Hayo yabainishwa na diwani wa kata ya namajani  Faraji…

16/01/2023, 10:07

Shule jumuishi Ya Mfano Ya Msingi Lukuledi Imeziduliwa!!!

MASASI. Waziri wa Elimu Profesa Adolf   Mkenda amezindua  Shule ya Msingi jumuishi ya mfano Lukuledi Wilayani Masasi mkoani mtwara ikiwa ndio shule ya kwanza ya mfano kwasasa ambayo huwezi kuiona sehemu nyingine  Tanzani kwa ukubwa na wingi wa miundombinu  huku…

10/01/2023, 14:27

CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA MASASI CHA MPONGEZA RAISI

Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi  wilaya ya masasi TWAHILI SAIDI MAYOLA, amezungumza na radio fadhila  juu ya tamko la raisi wa jumuhuri ya muungano wa Tanzania  dkt samia suluhu  hassan kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa…

Mission And Vision

Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara