Radio Fadhila

Recent posts

10 March 2021, 11:45 AM

Ndoa Na Taraka Katika Jamii!!!

Hakimu mkazi mfawidhi mahakama ya mwanzo lisekese masasi  LIGHTINESS  MASIMBA alipokuwa akizungumza na kipini cha amka na radio fadhila akizungumzia maswala ya ndoa na taraka ameeleza maana ya ndoa kwa mujibu wa sheria ya ndoa sheria number 29 iliyofanyiwa marejeo…

28 February 2021, 4:28 AM

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga hbumbuli ameshinda rufani

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga @hbumbuli ameshinda rufani yake na Sasa yupo huru kuitumikia klabu yake. Ikumbukwe Bumbuli alifungiwa kujishughulisha na masuala ya soka kwa miaka 3 na Kamati ya Maadili ya TFF.

28 February 2021, 4:16 AM

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba aiwaza Al Merrikh

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba amesema kuwa mchezo wake ujao dhidi ya Al Merrikh utakuwa mgumu tofauti na wengi wanavyofikiria. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Simba ikiwa ipo kundi A ipo nafasi ya kwanza na ina pointi…

28 February 2021, 4:07 AM

KIUNGO wa Yanga, Carlos anasikitika kwa kuonyeshwa kadi nyekundu

KIUNGO wa Yanga, Carlos Carlinhos amesema kuwa anasikitika kwa kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Jana, Februari 27 wakati Yanga ikishinda bao 1-0 dhidi ya Ken Gold FC…