Radio Fadhila
Radio Fadhila
30/03/2024, 11:14
Waumini wakat wa neno
18/01/2024, 09:29
MASASI Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Mtwara kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, AGNES HOKOLOLO , amewataka viongozi walioshiriki mafunzo ya kujengewa uwezo kutoka Tume ya Taifa ya Takwinu NBS kuyatumia kwa ajili ya kupanga mipango ya maendeleo katika maeneo…
17/11/2023, 10:08
MASASI. Jamii wilayani Masasi imetakiwa kutowatumia watu wenye changamoto ya ulemavu kama sehemu ya kujiingizia kipato kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria. Wito huo umetolewa na wakili wa kujitegemea wilayani humo Kida Mwangesi, katika studio za Radio Fadhila wakati akiwasilisha…
17/11/2023, 10:02
Masasi Kamati ya Chama Cha Mapinduzi {CCM} mkoa wa Mtwara, imefanya ziara ya kikazi wilayani Masasi kwa lengo la kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani humo. Ziara hiyo imeongozwa na katibu wa chama ngazi ya mkoa David Molle, ambapo walitembelea…
17/11/2023, 09:55
MASASI. Mwenyekiti wa kampeni ya kupinga vitendo vya ukatili idara ye elimu mkoa wa Mtwara Kristine Simo, ambaye pia ni mwenyekiti wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Upendo Charity inayojishughulisha na kusaidia jamii yenye uhitaji iliyopo wilayani Masasi, amewataka wanafunzi…
08/08/2023, 11:16
Wanakikundi wa Upendo Charity, kinachopatikana katika halamshauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara, wameshiriki kufanya matendo ya huruma kwa kutoa maziwa ya Lactojeni dazeni moja na nguo za kujikinga na baridi kwa mtoto Sabra aliyezaliwa hivi karibuni katika Hospitali ya…
08/08/2023, 10:59
Afisa vijana kutoka idara ya maendeleo ya jamii halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara Ebeneza Wisso, ametoa rai kwa wasaidizi wa kisheria kutoka shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na usaidizi wa kisheria katika halmashauri hiyo WAKIHABIMA, kujikita katika jamii…
08/08/2023, 10:45
Mratibu wa lishe Halmashauri ya Mji Masasi Happiness Mlamka ametoa rai kwa jamii ya Halmashauri ya Mji wa Masasi wakiwemo waajiri na kinababa Mkoani Mtwara kutoa ushirikiano wa kutosha kwa kinamama wanaonyonyesha watoto ili waweze kuwanyonyesha watoto wao katika hali…
12/06/2023, 12:23
Takribani wajumbe 110 kutoka vyama vya ushirika wilaya za Masasi na Nanyumbu, wakiwemo makatibu, wahasibu na maafisi ushirika, wameshiriki katika mafunzo ya kujengewa uwezo wa kuendesha mfumo mpya wa ‘MUVU’ ili waweze kutekeleza majukumu yao kiufanisi na kidigitali zaidi. Mfumo huo…
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara