Radio Fadhila

Upendo na ukarimu hakupunguzi kiwango cha elimu zenu

13 February 2026, 10:50 AM

Waziri wa afya mhe, Muhammed Mchengerwa

Misemo na methali mbalimbali zinaendelea tukumbusha kutenda mema kama vile usimdharau usiemjua hii inatukumbusha kuwa kutenda mema wakati wote bila kuchagua ni nani wakumtendea wema huo hii uleta amani na upendo kwa aliyetendewa.

Na,Lilian Martin

Waziri wa Afya Mhe,Muhammed Mchengerwa amewataka watoa huduma za Afya kutoa huduma kwa moyo wa upendo na kujitoa bila kuangalia ni nani anaye muhudumia kwani kwa kufanya hivyo hakutomfanya kupungua kwa kiwango chake cha elimu

Amewataka watoa huduma wafanye kazi zao kama ibada kwa kuwa Raisi anawategemea, wananchi pamoja na wizara inawaamini

Waziri wa afya akizungumza watoa huduma za afya