Radio Fadhila
Radio Fadhila
7 March 2025, 10:33 AM

Katika kufahamu zaidi kuhusu faida za usafiri wa baiskeli kwa wanafunzi, mwenzetu Neema Nandonde ametuandalia makala iliyohusisha mahojiano na wanafunzi wanaotumia usafiri huo wilayani Masasi mkoani Mtwara.
Na Neema Nandonde
Sauti ya Makala nzima kuhusu usafiri wa baiskeli kwa wanafunzi.