Radio Fadhila

Karibu Waziri wa Kilimo, asante kwa kutufikia

2 October 2024, 7:09 PM

Pichani ni Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe

Waziri wa Kilimo Mh.Hussein Bashe ametembelea katika Halmashauri ya Wilaya Masasi na kupata wasaa wa kusalimiana na viongozi mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Masasi leo tarehe 02/10/2024

Na baada ya mazungumzo na viongozi ofisini hapo Mhe. Bashe aliendelea na ziara yake na kuelekea kata ya Chiwale kuzungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara.