CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA MASASI CHA MPONGEZA RAISI
10 January 2023, 2:27 PM
Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya masasi TWAHILI SAIDI MAYOLA, amezungumza na radio fadhila juu ya tamko la raisi wa jumuhuri ya muungano wa Tanzania dkt samia suluhu hassan kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa nchini ,ni miaaka 6 sasa imepita tangia kufungiwa kwa vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara.
“Amesema wao kama chama cha mapinduz ( ccm) wamepokea kwa furaha kubwa tamko la raisi wa jamuhuri ya muungano wa tanzania” na wanampongeza raisi kuruhusu mikutano ya hadhara kwani wamejipanga kuwapa nafasi wananchi na kuzungumzia yale yanapaswa kusemwa na wananchi pia wao kama chama kilicho shika dola watapata fulsa ,ya kusema yale mazuri yote yaliyo fanywa na serikali ya chama cha mapinduzi kupitia ilani ya chama cha mapinduzi.
.