Radio Fadhila

Mkuu wa wilaya masasi Mh Seleman mzee amejumuika na wakazi wa wilaya ya masasi katika zoezi la kupiga kura ya rais, mbunge na madiwani

28/10/2020, 15:14

huyu ni mkuu wa wilaya ya masasi mh seleman mzee akipiga kura leoo hii kumchagua rais , mbunge na madiwani kati uchaguzi mkuu wa 2020