Radio Tadio

politics

19 July 2024, 5:29 pm

Madereva wazembe,vyombo vibovu hakuna atakae kuwa salama Simiyu

“Katika kuzuia na kupambana na madereva wazembe  wanaosababisha ajali zisizo za lazima zinazotokana na ubovu wa vyombo vya usafirishaji wanavyotumia jeshi la polisi mkoa wa Simiyu limekuja oparesheni la ukaguzi wa vyombo vya moto” Na,Daniel Manyanga Kamanda wa jeshi la…

19 July 2024, 2:27 pm

Shimo lakatisha maisha ya Anna, Martha Bariadi

“Usalama wa maisha ni jambo muhimu ili kutimiza malengo ya wananchi wetu nchi bila kuhakikisha usalama wa maeneo wanapotoka wananchi hatuwezi kufikia azma ya maendeleo ngazi ya jamii na taifa kwa ujumla” Na Daniel Manyanga Wanafunzi wawili waliotambulika kwa majina…

13 July 2024, 7:30 pm

Waathirika wa tembo walia na malipo yao Bunda

Wananchi Bunda wamekerwa na malipo ya kifuta jasho na kifuta machozi kutokana na madhira ya wanyama waharibifu kuchelewa, wamedai inawachukua hadi miaka mitano, Mbunge Maboto amewatuliza na kusema bunge limeagiza serikali kumaliza tatizo hilo. Na Adelinus Banenwa Wananchi wa kata…

28 June 2024, 16:43

Nyumba yateketea kwa moto na mali zote Kasulu

Nyumba moja imeteketea kwa moto na vitu vyote vilivyokuwemo ndani katika mtaa wa Soko Jipya kata ya Murubona halmashauri ya mji Kasulu mkoani Kigoma huku chanzo cha moto  kikitajwa na baadhi ya mashuhuda kuwa ni hitilafu ya umeme. Ripoti zaidi…

12 June 2024, 09:21

5 wafariki, 5 wajeruhiwa ajalini uvinza

Majeruhi wa ajali iliyotokea siku ya Jumapili wakati wafanyakazi wa kampuni ya Tropical Estate Grid Electricity Ltd, inayosambaza umeme wa REA vijijini Pamoja na vibarua wakitoka katika shughuli zao katika Kijiji cha Rubalesi wakielekea Kijiji cha Rukoma wameanza kuruhusiwa kurudi…

6 June 2024, 10:56

Watoto hupotea na kukutwa wamefariki Kasulu

Serikali imetakiwa kufuatilia na kudhibiti vitendo vya watoto kupotea katika mazingira ya kutatanisha katika halmashauri ya mji wa Kasulu hali inayosababisha wananchi kuishi bila amani. Na Michael Mpunije – Kasulu Wananchi katika halmashauri ya mji Kasulu mkoani Kigoma wameiomba serikali…

5 June 2024, 19:07

13 wafariki, 18 wajeruhiwa ajalini Mbeya

Huzuni imetanda jiji la Mbeya baada ya kutokea ajali ambayo imeondoa uhai wa watu. Na Hobokela Lwinga Watu 13 wamepoteza maisha na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu likiwamo lori, gari dogo na Coaster. Ajali hiyo imetokea leo…

5 June 2024, 13:15

Bidhaa zateketea kwa moto, maduka 12 yakinusurika Kasulu

Wananch wilayani kasulu mkoani kigoma kuendelea kuchukua tahadhari za majanga ya moto ili kuepuka hasa zinazojitokeza baada ya kutokea majanga ya moto. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Duka moja limeungua kwa moto katika soko kuu la Kasulu Mjini lililopo jirani…

27 May 2024, 10:32 am

Makala: Fahamu namna shule ilivyonufaika na uhifadhi

Na Isack Dickson. Katika Halmashauri ya Babati, kuna jumla ya shule za msingi 153 ambazo zinahudumia zaidi ya wanafunzi 60,000. Shule ya Msingi Burunge ni mojawapo ya shule mpya zinazokua kwa kasi, ikilinganishwa na shule za zamani ambazo zimekumbana na…