Mufindi FM
Mufindi FM
11 June 2025, 00:23
Wadau mbalimbali wakiwa picha ya pamoja wakiwemo watoa huduma, vyama vya ushirika, wafanya biashara, wasindikizaji wa mazao na maofisa wa serikali mara baada ya kuhitimisha mafunzo ya kikao biashara. Picha na Marko Msafiri. Awali, wakulima wengi walikumbana na changamoto mbalimbali…
6 June 2025, 13:46
Katika picha ni Madaktari bingwa wa kinywa na meno wakimufanyia matibabu mgonjwa wa meno katika kituo cha afya Usokami. Picha na Marko Msafiri. Kabla ya ujio wa Madaktari Bingwa katika kituo hicho, wananchi walilazimika kusafiri umbali mrefu hadi hospitali kubwa…
26 May 2025, 13:11
Mafunzo hayo ni ya kuwainua wakulima kutawala katika soko la dunia kupitia uwepo wa mazingira wezeshi. Na Marko Msafiri Taasisi ya Nafaka Kilimo kupitia mradi wa Kilimo Masoko (FtMA) Kwa imewakutanisha wadau mbalimbali katika sekta ya pembejeo kwa lengo la…
21 February 2025, 07:10
na Jumane Bulali Mufindi FM Radio 107.3 imeshika nafasi ya tatu Kwa kulipa Kodi Kwa wakati na kwa usahihi Kwa upande wa Vyombo vya Habari vya Mkoa wa Iringa. Mufindi FM imepewa tunzo hiyo maalumu baada ya kutambuliwa na Mamlaka…
14 January 2025, 14:09
Na Juliana Mhavile Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, Wandishi wa habari wa kituo cha redio Mufindi FM 107.3, wametakiwa kuzingatia maadili yao ya kiuandishi Katika kazi yao ya kuhabarisha umma. Hayo yamesemwa January 13, 2025 na Mhariri kutoka jukwaa…
11 January 2025, 17:01
MUFINDI Na Kefa Sika Mdau wa maendeleo wilayani Mufindi ambaye ni kaimu meneja wa mawasiliano na masoko wakala wa majengo Tanzania TBA Ndugu Fredrick Victory Kalinga amekabidhi magodoro 10 kwenye kituo cha malezi na elimu ya watoto cha Excell kilichopo…
26 November 2024, 12:47
Kesho jumatano Novemba 27 2024, ndiyo siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa, je unafahamu utaratibu wa upigaji kura siku hiyo kama haki yako ya msingi? Msikilize msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya mji Mafinga Bi. Fedelica Myovela, akieleza kuhusu utaratibu…
26 November 2024, 06:25
Na Kefa Sika MUFINDI Kikundi cha Mkombozi kilichopo katika kijiji cha Kidete kata ya Mdabulo wilayani Mufindi Mkoani Iringa chenye wanachama 61 kimepokea fedha kiasi Cha shillingi laki 5, Kwa ajili ya Uendeshaji wa kikundi hicho. Kikundi hicho hujishughulisha na…
22 November 2024, 15:09
MUFINDI Na Kefa Sika Mdau wa maendeleo wilayani Mufindi ambaye ni Meneja wa mawasiliano na masoko wa wakala wa Majengo Tanzania Nd. Fredric Victory Kalinga amechangia zaidi ya shilling laki 5 za kitanzania kwenye kituo cha malezi na elimu ya…
24 October 2024, 19:01
Na Bestina Nyangaro Mufindi Mahakama ya Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa imewahukumu Rashidi Mfikwa (34) na mwenzake Hussein Mfikwa(30) kifungo cha miaka 30 jela, kila mmoja baada ya kukutwa na hatia ya unyanganyi wa kutumia silaha. Rashidi na husseni,wakazi wa…
MUFINDI FM MAFINGA 107.3
Mufindi FM Redio 107.3 Mafinga ni Redio iliyo Chini ya Kampuni ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mkoani iringa inayojulikana Kwa Jina la Mufindi Media Cooperation Company LTD. Mufindi FM Redio Ilianzishwa Mwaka 2021, Redio Isikilizwa Katika Mikoa ya Iringa na Njombe, Pamoja na Baadhi ya Wilaya Katika Mikoa ya Morogoro, Mbeya na Ruvuma.