Mufindi FM

Mashine ya kuchakata zaidi ya mazao 9 yawafikia wakulima Mufindi

17 July 2024, 16:26

Pichani ni Mwakilishi wa Kampuni ya IMARA TECH Bw. Osman Ndesamburo (aliyepo mbele karibu na Mashine aliyevaa Tisheti Nyeusi) akitoa elimu kwa WAKULIMA katika Kijiji Cha Nyanyembe Kata ya Mbalamaziwa Kuhusu matumizi sahihi ya Mashine ya kuchakata zaidi ya mazao Tisa. Picha na Marko Msafili.

Na Marko Msafili

Mufindi

Taasisi ya utafti wa mazao ya Kitropiki (CIAT), IMARA TECH, Taasisi ya utafti wa Kilimo (TARI), Taasisi ya ngano na Mahindi kwa kushirikiana na Taasisi ya kilimo masoko pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi wamefanya maonesho ya mradi wa Teknolojia ya mashine ya kuchakata mazao zaidi ya tisa katika Chama Cha Ushirika cha Nyanyembe (Nyanyembe AMCOS) kilichopo katika kijiji cha Nyanyembe kata ya Mbalamaziwa iliyopo katika Halmshauri hiyo.

Undani wa taarifa hii tuungane na mwandishi wetu Marko Msafili

Sauti ya Marko Msafili