Mufindi FM

Waraibu 12 wa DAWA za kulevya wanapatiwa matibabu Iringa

27 June 2024, 08:06

MUFINDI
Na Witness Alex

Wakati leo june 26, dunia ikiadhimisha siku ya mapambano dhidi ya dawa za kulevya, waraibu wapatao 12 wanaendelea kupata msaada wa kuacha kutumia dawa za kulevya katika Nyumba Ya Upataji Nafuu (Iringa Soba House) mkoani Iringa.
JACKSON MACHOWA ANAYOTAARIFA ZAIDI.