Mufindi FM

Wanafunzi 3 waliokufa maji wazikwa Mafinga

27 May 2024, 20:41

Mkuu wa wilaya ya Mufindi Dkt Linda Salekwa (katikati pichani) akiongoza mamia ya waombolezaji kuaga Miili ya watoto watatu waliokufa maji Mafinga (kushoto pichani)ni mwenyekiti wa halmashauri ya mji Mafinga Reginald Kivinge. Picha na Bestina Nyangaro

Na Bestina Nyangaro

Mafinga.

Miili ya watoto watatu, wawili wakiwa wa familia Moja waliokufa maji imeagwa na kuzikwa katika makabauri ya shamba la bibi kata ya Kinyanambo halmashauri ya mji Mafinga Leo mei 27, 2024.
Watoto hao walikutwa wamepoteza maisha kwa kufa maji kwenye dimbwi lililochimbwa mchanga katika mtaa wa Ifingo, jana mei 26 jumapili majira ya mchana.

Taarifa zaidi na mwandishi wetu Bestina Nyangaro

Ripoti ya Bestina Nyangaro