Podcasts

29 August 2023, 2:27 pm

Wanandoa waaswa kuacha  mfumo dume

Wanandoa katika manispaa ya Tabora wametakiwa kuacha dhana ya mfumo dume na badala yake  washirikiane katika masuala ya uzalishaji mali na kisha kutoa maamuzi ya pamoja kwa ajili ya maendeleo. Zaituni Juma  ametuandalia taarifa  ambayo imeangazia umuhimu wa ushirikino kwa…

21 August 2023, 6:15 pm

Jinsi ajira kwa watoto zinavyoathiri maisha ya mtoto

Alfred Bulahya amezungumza na binti ambaye aliajiriwa katika umri mdogo lakini mwajiri wake aliamua kumuendeleza kielimu. Na Alfred Bulahya. Ajira kwa watoto inarejelea unyonyaji wa watoto kupitia aina yoyote ya kazi ambayo inawanyima utoto wao, inaingilia uwezo wao wa kuhudhuria shule ya kawaida, na inawadhuru kiakili,…

21 August 2023, 5:55 pm

Jukumu la afya ya uzazi si la mama peke yake-Dkt. Festo Mnyiriri

Na Zaituni Juma Wanaume katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora wamekumbushwa kujali afya ya mama mjamzito na hata baada ya kujifungua. Zaituni Juma ametuandalia taarifa ambayo imelenga ushiriki wa wazazi wote wawili  (baba na mama)  kwenda kliniki kwa pamoja hasa …

19 August 2023, 11:29 am

Makala: Ufahamu ugonjwa wa Usonji

Na Grace Hamisi, Usonji (autism spectrum disorder -ASD) ni ugonjwa wa neva wa ukuaji unaoathiri namna mtu anavyoshirikiana na wenzake, anavyozungumza, anavyojifunza, na tabia yake. Ingawa usonji unaweza kugundulika katika umri wo wote, ugonjwa huu huelezewa kuwa ni ugonjwa wa…