Podcasts

September 12, 2023, 12:22 pm

mbunge Festo Sanga akabidhi fedha shule ya msingi unenemwa

kutokana na uchakavu wa madarasa katika shule ya msingi unenamwa ilioko kata ya luwumbu mbunge wa jimbo la makete Mh Festo Sanga amekabidhi shilingi laki 5 na elfu sabii. na Lulu Samson MBUNGE wa jimbo la makete mh festo sanga…

September 12, 2023, 12:22 pm

Wananchi waipongeza serikali kutatua mgogoro wa eneo la kuzika

Na Maoni Mbuba, Songwe Wananchi wa kijiji cha Mbebe kata ya Mbebe wilayani Ileje mkoani Songwe waipongeza serikali kupitia kwa mwanasheria wa halmashauri hiyo kumaliza mgogoro wa maeneo ya kuzika baina ya wananchi kijijini hapo. Wananchi hao wamesema hayo wakati…

September 12, 2023, 9:24 am

Maisha na UVIKO 19

Umuhimu wa chanjo ya UVIKO 19 kwa wana jamii na kuchukua tahadhari ili kujilinda dhidi ya maambukizi ya mlipuko huo. Mtalaam wa afya kutoka ofisi ya Mganga mkuu wilaya ya Nyasa Dr Richard Kubingwa Akitoa elimu ya uchanjaji na kujikinga…

6 September 2023, 3:06 pm

Vilindoni shule kongwe yenye changamoto

Licha ya shule hii kuwa Kongwe lakinibado inakabiliwa na upungufu wa madawati, upungufu wa walimu na Uchakavu wa madarasa. Na Yussuph Hassan. Leo kamera ya fahari ya Fahari imegonga hodi katika kata ya Mbabala shule ya msingi Vilindoni ,shule hii…

5 September 2023, 1:00 pm

Wanawake Micheweni walia kutelekezwa na waume zao.

Wanawake na watoto wamekuwa ni wahanga wakubwa kwenye suala zima la utelekezaji hivo ipo haja kuhakikisha kuwa tunashirikiana kwa kina kuhakikisha tunaondoa tatizo hilo ambalo linapigiwa kelele siku hadi siku katika jamii zetu Na Mwiaba Kombo

September 3, 2023, 11:00 am

Maonesho ya sita ya madini Geita, kusisitiza uhifadhi wa mazingira

Maonesho ya sita ya Madini yanayotarajiwa kufanyika mwaka huu mkoani Geita, yanatajwa kuwa chachu ya kuufungua mkoa kiuchumi na kuongeza fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta ya Madini. Na Said Sindo -Geita Bwana Charles Chacha kutoka Idara ya Uwekezaji, viwanda…

30 August 2023, 12:19 pm

Kipindi: Uchumi wa bluu kuwainua wanawake Pemba

Wanawake wilaya ya Mkoani wanufaika na sera ya uchumi wa bluu kwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali zikiwemo kilimo cha mwani ambacho ni maalum kinacholimwa baharini na kwa sasa ni kilimo biashara ambacho wakaazi wanaoishi mwambao wa bahari wanalima kibiashara.