Podcasts

29 November 2023, 3:43 pm

Uhuru wa matumizi ya kipato kwa wafanyakazi wa majumbani

Na Mariam Matundu Leo tunazungumzia wafanyakazi wa majumbani, wanawezaje kuwa huru na matumizi ya kipato chao Mariam amefanya mazunguzo na katibu wa chama cha wafanyakazi za nyumbani Chodau mkoa wa Dodoma na Ameanza kumuuliza kwanini baadhi ya wafanyakazi hao wanakosa…

29 November 2023, 3:21 pm

Historia ya kilimo cha Zabibu

Dodoma ndio mkoa pekee unaolima Zabibu kwa wingi nchini Tanzania na hata kwa afrika mashariki ndio mkoa wenye utajiri mkubwa wa zao hili. Na Yussuph Hassan. Kilimo cha Zabibu mkoani Dodoma kina historia ndefu, ambapo kwenye miaka ya 1950 na…

29 November 2023, 9:15 am

Elimu ya afya ya uzazi kwa vijana Iringa-Makala

Vijana wanaoishi katika mazingira hatarishi iringa waiomba serikali kuwawekea mazingira rafiki ya kupata elimu na huduma ya afya ya uzazi ili kuwawezesha kujikinga na magonjwa ya zinaa. Undani wa taarifa hii sikiliza makala ifuatayo

28 November 2023, 6:11 pm

Muendelezo wa Siku 16 za kupinga ukatili

Na Mariam Matundu. Tukiwa bado katika siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia leo tunakuuliza ni njia gani ya haraka unaweza kuitumia kuripoti vitendo vya ukatili ? Leonard mwacha amezungumza na mkuu wa dawati la jinsia na watoto mkoa wa…

27 November 2023, 5:44 pm

Leo tunaangazia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia

Hatua za kutokomeza ukatili zianzie katika ngazi ya familia. Na Mwandishi wetu. Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia imezinduliwa ikiwa na kauli mbiu isemayo wekeza kutokomeza ukatili ,kaulimbiu ambayo imewaleta wadau ,serikali na famili kwa pamoja katika…

19 November 2023, 12:22 pm

Ushirikiano wa wenza katika kumiliki mali

Na Leonard Mwacha. Hii leo tunaangazia umuhimu wa wenza kushirikiana katika umiliki wa mali. Mwenzetu Leonard Mwacha amefanya mazungumzo na mwanasheria na ameanza kumuuliza hali ikoje kwa wanawake kushirikishwa katika umiliki wa mali wa pamoja na wenza wao.