Radio Tadio

Maendeleo

December 7, 2023, 1:13 pm

DC Sweda akagua miradi ya bilioini 1.5 kata ya Ipelele

Kutokana na fedha kutolewa na serikali ili kufanikisha miradi inatekelezwa katika maeneo mbali mbali dc sweda ameendelea kuhakikisha anafatilia kwa karibu miradi hiyo ili weze kukamilika kwa wakati Na mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya Makete Mhe. Juma Sweda amewataka viongozi…

4 December 2023, 12:33

Bongo: Mkurugenzi mpya apewe maua yake

Mwenyekiti wa mamlaka ya mji mdogo wa Kyela Emmanuely Bongo amewataka wenyeviti wa vitongoji na mitaa kuhakikisha wanazingatia suala la utawala bora ili kuwaletea wananchi maendeleo. Na Nsangatii Mwakipesile Kikao cha Robo ya kwanza cha Mamlaka ya mji mdogo wa…

29 November 2023, 09:57

Serikali kutumia bilioni 40 kukarabati meli mbili ziwa Tanganyika

Serikali inatarajia kutumia jumla ya Shilingi Bilioni 40 kukarabati meli kongwe ya abiria na mizigo ya MV Liemba pamoja na meli ya mafuta ya MT Sangara yenye uwezo wa kubeba lita laki nne za mafuta ambayo  matengenezo yake  tayari yameanza. Akizungumza baada kutembelea na…

23 November 2023, 18:27

Mbeya kukaguliwa miradi ya maendeleo

Na Hobokela Lwinga Mkuu wa mkoa wa Mbeya mh.Juma Zuberi Homera anatarajia kuanza ziara katika halmashauri za Jiji la Mbeya na Mbeya Dc lengo likiwa ni kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali. Akitoa taarifa ya ziara hiyo kwa vyombo…

23 November 2023, 10:18 am

Rungwe yakusanya 122.22% ya mapato robo ya kwanza

Elimu ya ulipaji wa kodi inayotolewa kwa jamii imeonesha matokeo chanya kwa baadhi ya halmashauri hapa nchini kwa kuvuka malengo ya ukusanyaji wa mapato. RUNGWE-MBEYA Na lennox mwamakula Halmashauri ya wilaya ya Rungwe katika kipindi cha robo ya kwanza kuanzia…

21 November 2023, 3:17 pm

Tozo za maegesho zawakwamisha bodaboda

RUNGWE-MBEYA Sheria ndogo zinazopitishwa kwenye vikao vya mabaraza ya madiwani kukwamisha baadhi ya shughuli za kimaendeleo kwenye maeneo husika. Na Lennox mwamakula Kutokana na kuwepo kwa kamatakamata ya vyombo vya moto na kutozwa faini ya maegesho waendesha pikipiki maarufu bodadoda…

16 November 2023, 4:02 pm

Tumbatu kunufaika na mradi wa maji baada ya kukamilika

Picha ya Tangi la maji lilojengwa tumbatu ambalo linauwezo wa kuingia lita milioni moja. Picha na Vuai Juma Kukamilika kwa mradi kutapunguza tatizo la maji kisiwani tumbatu kwa kiasi kikubwa. Picha ya katibu tawala Tumbatu akiambatana na viongozi wengine katika…