Radio Tadio

Maendeleo

27 September 2023, 2:12 pm

TBA yawafikia wanageita kwa kutoa elimu katika maonesho ya 6

TBA imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya serikali kwa uaminifu na uadilifu huku Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongeza wigo katika sekta hiyo na kuiruhusu kufanya kazi na mashirika binafsi. Na Zubeda Handrish- Geita…

26 September 2023, 7:38 am

Waziri Mbarawa atoa neno maadhimisho siku ya usafiri baharini

“Usafiri wa baharini ni usafiri salama kama vile maeneo mengine yanayotoa huduma za usafiri hivyo wananchi tutumie usafiri wa baharini kwa shuguli zetu mbalimbali za kimaisha kwani ni sehemu salama na Tanziania imeimarisha utoaji wa huduma za usafiri baharini“ Na…

25 September 2023, 10:53 am

Biteko awataka viongozi kuongeza weledi fedha za miradi

Baada ya kuzindua maonesho ya 6 ya kimataifa ya teknolojia ya madini katika viwanja vya EPZA mjini Geita Septemba 23, 2023, Waziri Biteko alifika hadi kwa wananchi wa Bukombe, mamlaka ya mji mdogo Ushirombo nyumbani kwao kwa ajili ya shukrani.…

24 September 2023, 2:08 pm

Serikali kukamilisha tafiti za madini nchini

Mpaka sasa utafiti wa kina wa jiofizikia kwa kutumia ndege umefanyika kwa asilimia 16. Na Zubeda Handrish- Geita Serikali kupitia Wizara ya Madini ipo katika mpango wa kukamilisha utafiti wa kina wa jiofizikia kwa kutumia ndege kupitia Taasisi ya Jiolojia…

September 22, 2023, 8:57 am

Fedha zachangwa msibani kutatua changamoto ya barabara Makete

Kutokana na ubovu wa miundombinu ya barabara katika kijiji cha Igolwa kilichopo wilaya ya Makete – Njombe wananchi wamelazimika kuchangisha fedha katika matukio mbalimbali ikiwemo misiba ili kujikwamua na changamoto hiyo. Na Aldo Sanga. Wananchi wa kijiji cha Igolwa wameomba…

21 September 2023, 5:33 pm

Washiriki 400 waanza maonesho katika viwanja vya EPZA Geita

Washiriki kutoka mataifa mbalimbali kama vile China, Rwanda, Burundi na mengineyo yameshiriki maonesho hayo ya 6 yaliyoanza rasmi mwaka 2018. Na Zubeda Handrish- Geita Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela amesema kuwa maonesho ya dhahabu ambayo yameanza jana Septemba…

21 September 2023, 4:08 pm

Milioni 362 kujenga stendi ya vumbi Tukuyu mjini

Kukamilika kwa stendi ya vumbi maarufu kama stendi ya Noah Tukuyu mjini itakuwa chachu ya maendeleo kwani itaondoa adha ya watumiaji wa stendi hiyo kwa msimu wa masika na kiangazi. Na Lennox Mwamakula – Rungwe-MbeyaJumla ya shilingi milioni 362 zimetengwa…