Radio Tadio

Maendeleo

20 September 2023, 2:58 pm

Nyumba kuezuliwa serikali mkoani Geita yaingilia kati

Serikali Mkoani Geita imetoa tahadhari kwa watu wenye makazi duni kuhakikisha wanaboresha makazi yao ili kuepuka madhara kutokana na mvua zilizoanza kunyesha nakuleta madhara kwa baadhi ya wananchi. Na Mrisho Sadick: Siku chache baada ya Nyumba kadhaa kuezuliwa na mvua…

14 September 2023, 12:50 pm

Mgodi wa Buckreef walipa fidia kwa wananchi

Mgodi wa Buckreef umechukua eneo la wananchi wa Lwamgasa lenye kilomita za mraba 12 kwa ajili ya kupanua shughuli za uzalishaji wa mgodi huo. Mgodi wa Uchimbaji madini ya dhahabu wa buckreef uliopo kata ya Lwamgasa Jimbo la busanda wilaya…

14 September 2023, 12:18 pm

Madiwani Tanganyika watakiwa kusimamia miradi inayoanzishwa na wananchi

Serikali itaendelea kusimamia utekelezaji wa miradi yote ya serikali na kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wananchi. Na Kilian Samwel – TanganyikaMadiwani halmashauri ya Tanganyika mkoani Katavi wametakiwa kusimamia miradi inayoanzishwa na wananchi pamoja na kuwashirikisha katika miradi mbalimbali ya serikali.…

12 September 2023, 9:23 pm

Makoongwe waomba huduma bora za kijamii

Wananchi wa kisiwa cha Makoongwe kinachopatikana mkoa wa Kaskazini Pemba wameomba kupatiwa huduma mbalimbali za kijamii kutokana na huduma hizo kukosekana muda mrefu na kumtaka mbunge wa jimbo la Mkoani kutimiza wajibu wake kwao. Na Khatib Juma Wananchi wa shehia…

12 September 2023, 1:23 pm

Wananchi wampongeza mwenyekiti kwa kutatua kero zao

Takribani wiki moja imepita tangu Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Geita kuwaagiza wenye viti wa mitaa/vijiji pamoja na watendaji kuhakikisha wanasoma taarifa za mapato na matumizi kila baada ya miezi mitatu, huku ikiwa ni kawaida kwa mtaa wa Shilabela. Na…

6 September 2023, 16:03

Wakuu wa wilaya, wakurugenzi kusimamia mpango wa usajili wa watoto

Viongozi wa Halmashauri Mkoani Kigoma wametakiwa kuhakikisha watoto wanasajiliwa. Na, Josephine Kiravu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye amewaagiza wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani hapa kusimamia…

6 September 2023, 11:08 am

Mwenge wa uhuru kukimbizwa kilomita 156 Rungwe.

RUNGWE – Mbeya Wananchi wilayani Rungwe watakiwa kuchangamkia fursa ya uwepo wa mbio za mwenge kuongeza kipato chao.  Na Lennox Mwamakula Wananchi Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya Wametakiwa Kujitokeza Kwa Wingi Wakati  Mapokezi Ya  Mwenge Wa Huru Katika Kijiji Cha Ikuti…

4 September 2023, 10:25 am

Serikali yawakaribisha wawekezaji sekta ya Madini

Na Mwandishi wetu WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Kassim Majaliwa amekutana na ujumbe kutoka Korea Kusini uliojumuisha viongozi wa makampuni makubwa ya madini yanayohusika na mnyororo wa thamani wa uzalishaji betri za magari ya Posco Holdings, Posco…