Radio Tadio

Maendeleo

12 August 2023, 7:44 pm

Storm FM yampongeza mwandishi wake kushinda tuzo za EJAT

Mkurugenzi wa Kituo cha Redio cha Storm FM ameahidi kuendelea kutoa motisha kwa wafanyakazi wake wanaofanya vizuri katika nyanja mbalimbali ikiwemo tuzo. Na Mrisho Sadick: Storm FM imempongeza Mtangazaji na mwandishi wake Said Sindo kwa kushinda tuzo za umahiri za…

10 August 2023, 6:18 pm

Miradi ya bilioni 5.6 yakutwa na mapungufu

Vitendo vya rushwa vimeendelea kuwa na athari kubwa hadi kwenye miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kwa ajili ya wananchi. Na Mrisho Sadick: Miradi 12  yenye thamani ya shilingi Bilioni 5.6 imebainika  kuwa na Mapungufu  na viashiria vya rushwa   wakati…

9 August 2023, 6:33 am

Makatibu CCM Nsimbo wanufaika na pikipiki za Lupembe

MPANDA. Pikipiki kumi na mbili zenye thamani ya shilingi Milioni thelathini zimegawiwa kwa Makatibu kata wa chama cha mapinduzi CCM halmashauri ya Nsimbo na Mbunge wa jimbo hilo Anna Richard Lupembe kwa lengo la kuimarisha utendaji kazi kwa makatibu hao.…

7 August 2023, 10:33 pm

Mwenge wa Uhuru wafika kwa Hayati JPM

Mpaka sasa, mwenge umezunguka katika wilaya tano na halmashauri sita ndani ya mkoa wa Geita, ambapo umepitia miradi 59 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 29 na kutembea umbali wa kilometa 770. Na Mrisho Sadick- Geita Mwenge wa Uhuru ukiwa wilayani…

31 July 2023, 2:49 pm

Ofisi za halmashauri wilaya Iringa zahamishiwa rasmi Ihemi

Na Frank Leonard Halmashauri ya wilaya ya Iringa imehamisha rasmi huduma zake za kiofisi katika majengo ya siasa ni kilimo mjini Iringa na kuzipeleka katika jengo lake jipya lililopo katika kijiji cha Ihemi, kilometa 35 kutoka mji huo, barabara kuu…

26 July 2023, 5:43 pm

Martha Afurahishwa Kukamilika kwa Kituo cha Afya Ugalla

NSIMBO. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ameishukuru serikali Kwa kutoa fedha Shilingi Milioni 590 Kwaajili ya kufanikisha ujenzi wa Kituo Cha afya Ugalla Halmashauri ya Nsimbo mkoa wa Katavi. Akizungumza na Wananchi katika Kijiji Kasisi Kata…

24 July 2023, 10:20 am

English Medium ya serikali kujengwa Mpanda

MPANDA Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi inatekeleza mradi wa ujenzi wa shule ya mchepuo wa kiingereza kwa ajili ya kuwasaidia wazazi na walezi ambao wana nia ya kusomesha watoto kwenye shule binafsi lakini wameshindwa kumudu gharama kubwa za kusomesha.…

July 21, 2023, 1:00 pm

Madiwani Kahama wapongeza kukamilika miradi ya maendeleo

Madiwani wilayani Kahama mkoani Shinyanga wa meipongeza serikali ya awamu ya sita na halmashauri ya wilayani hiyo kwa juhudi za maendelo zinazofanyika katika mwaka wa fedha 2022/2023. Na Misoji Masumbuko, Anas Ibrahim Wameyasema hayo katika kikao cha madiwani cha robo…