Mtegani FM
94.9 MHz
Mtegani - Kusini Unguja
0773737929
mteganifmcommunity@gmail.com
94.9 MHz
Mtegani - Kusini Unguja
0773737929
mteganifmcommunity@gmail.com
12 August 2023, 3:22 pm
Watangazaji na wandishi wa habari wa radio jamii Mtegani Fm Makunduchi Zanzibar wametakiwa kutumia mtandao wa Radio Tadio ili kuifikia jamii kimataifa. Na Fatma Saleh Ushauri huo umetolewa na mhariri wa jukwaa la kupashana habari la Radio Tadio lililo chini…
12 August 2023, 1:43 pm
Wakazi wa kijiji cha Kizimkazi Mkunguni wilaya ya Kusini Unguja wameendelea kunufaika na mafunzo na miradi inayotolewa na taasisi zisizo za kiserikali kijijini kwao. Na Miraji Manzi Kae Kuwepo kwa taasisi zisizo za kiserikali zinazofuata taratibu za maeneo husika kuwawezesha…
12 August 2023, 1:11 pm
28 September 2021, 10:27 am
Mkuu wa kitengo cha kuziua ukatili wa kijinsia katika jeshi la polisi wilaya kusini Unguja, akiwa katika kituo cha Radio jamii kuelezea jinsi ya tatizo linavyo pungua katika Mkoa wa kusini Unguja.