Radio Tadio

Maendeleo

30 August 2023, 10:03 am

Madiwani Tanganyika wadai uchunguzi fedha za ndani

TANGANYIKA Madiwani wilayani Tanganyika wametaka kufanyika kwa ukaguzi wa ndani wa fedha za mapato ya ndani kutokana na fedha kuwepo lakini kushindwa kupelekwa kukamilisha miradi ya maendeleo iliyoanza kutekelezwa na wananchi. Wakizungumza katika kikao cha robo ya nne ya mwaka…

28 August 2023, 9:07 am

Wananchi zaidi ya laki 6 wanufaika na mradi wa maji Geita

Changamoto ya kupatikana kwa maji safi na salama vijijini, imechangia kwa kiasi kikubwa mradi wa maji wa miji 28 kuanzishwa.Na Adelina Ukugani- GeitaJumla ya wakazi laki sita na thelathini na nane mia tatu na ishirini na  mbili (638,322 ) wanatarajia…

23 August 2023, 8:19 pm

Neema ya maji yawafikia wananchi wa Chabulongo

Kukosekana kwa maji katika kijiji cha Chabulongo kumewatia moyo viongozi wa Kanisa la TAG Chabulongo kutoa msaada. Na Kale Chongela-Geita Wakazi zaidi ya 360 kunufaika na mradi wa maji katika mta wa Chabulongo, kata ya Bung’hwangoko mradi ambao umefadhiliwa na…

21 August 2023, 9:06 am

Vibubu vyaboreshwa kuendana na soko

Inadaiwa kibubu hakiwezi kutoa usalama wa moja kwa moja kama benki, huku kikidaiwa kupoteza fedha zilizohifadhiwa ndani yake , hili limewainua wauza vibubu na kutolea ufafanuzi. Na Zubeda Handrish- Geita Mfanyabiashara wa Vibubu katika soko la Nyankumbu la jioni amezungumzia…

20 August 2023, 3:06 pm

Eden yafutwa machozi kilio cha maji

MPANDA Wananchi wa mtaa wa Edeni kata ya Misukumilo halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamemshuru Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini Sebastian Kapufi kwa kuwapambania haraka kupata huduma ya maji safi na salama. Hayo yanajiri kufuatia ziara ya…

16 August 2023, 10:09 am

Mwenge wa Uhuru kuzindua miradi 7 Tanganyika DC

TANGANYIKA Mwenge wa uhuru unatarajia kuzindua na kutembelea miradi saba yenye thamani zaidi ya bilioni 1.9 katika wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu amebainisha kuwa mwenge wa…

14 August 2023, 12:22 pm

Watumishi Sao Hill wapongezwa kwa utendaji

Na Fabiola Bosco Watumishi wa Shamba la Miti Sao Hill wilayani Mufindi mkoani Iringa wamepongezwa kwa utendakazi mzuri huku wakiaswa kuendelea kufanya kazi kwa uadilifu na uzalendo kwa maslahi ya umma na serikali . Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,…