Radio Tadio

Maendeleo

21 July 2023, 11:30 am

Dira ya Taifa ya 2025 yawa na mafanikio makubwa Geita

Wakati Dira ya Taifa ya mwaka 2025 ikiwa inaelekea ukingoni, wananchi mkoani Geita wameeleza mafanikio makubwa huku wakiipongeza serikali kwa kuwashirikisha. Na Mrisho Sadick Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2025 inayotegemewa kumalizika 2025 imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kusogeza…

21 July 2023, 10:10 am

Mafinga Mji wakagua miradi ya maendeleo

Kamati ya Mipango Miji na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati Mheshimiwa Michael Msite imefanya ziara ya kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo Halmashauri ya Mji Mafinga. Miradi iliyotembelewa ni Ujenzi wa Shule mpya ya msingi Muungano yenye Mkondo mmoja, Ujenzi…

19 July 2023, 11:17

Waendesha pikipiki walia na mikataba kandamizi Kigoma

Shughuli ya uendeshaji wa pikipiki maarufu bodaboda kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa na mchango mkubwa kwa vijana kujipatia kipato kwa kusafirisha abiria huku wengi wao wakipewa pikipiki hizo kwa mikataba hali iayosababisha kutofikia malengo yao. Na,Hagai Ruyagila Vijana waendesha…

17 July 2023, 10:15 am

Shule ya Makomelo Kupunguza Adha ya Mrundikano Shuleni

KATAVI Adha ya Wanafunzi wa Shule za Msingi kutoka Kitongoji cha Songambele Kijiji cha Tumaini Kata ya Itenka kutembea Umbali wa Kilomita 9 kupata Elimu shule ya Msingi Itenka inatarajiwa kuisha kuanzia Mwezi Agosti pindi itakapokamilika Shule mpya ya Makomelo.…

15 July 2023, 4:43 pm

Uwekezaji wa Bandari ni salama

Mjadala wa Serikali ya Tanzania kutaka kuingia makubaliano na serikali ya dubai kupitia Kampuni ya DP World ya uboreshaji na uendelezaji wa Bandari bado unaendelea huku wabunge wakiendelea kuwatoa hofu wananchi. Na Mrisho Sadick: Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini…

10 July 2023, 6:23 pm

Kongwa yapongezwa kwa kupata hati safi ya ukaguzi

Senyamule amesema kitendo hiki kimeipa heshima kubwa halmashauri ya wilaya ya Kongwa, mkoa wa Dodoma na nchi kwa ujumla. Na Mariam Matundu. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Kongwa kwa kupata Hati safi…

22 June 2023, 12:53 pm

Wafanyakizi Storm FM wafika bungeni Dodoma

Na Mrisho Sadick: Baadhi ya Wafanyakazi wa Storm FM Redio (Sauti ya Geita) leo Juni 22,2023 wametembelea Bungeni Jijini Dodoma kushuhudia uendeshaji wa shughuli mbalimbali za kibunge kwa mwaliko wa Mbubge wa Jimbo la Geita mjini Mhe Constantine Kanyasu. Wafanyakazi…