Radio Tadio

Maendeleo

11 April 2024, 5:18 pm

Idifu waomba kusambaziwa huduma ya umeme

Tangu REA kusimika nguzo za umeme kwa kufuata muelekeo wa barabara imesababisha baadhi ya maeneo mengi kushindwa kufikiwa na huduma hiyo. Na Victor Chigwada.Uongozi wa serikali ya kata ya Idifu wilayani Chamwino umeiomba serikali kuwasambazia huduma ya umeme katika maeneo…

6 February 2024, 10:47

Kamati zapongezwa utekelezaji wa miradi Rungwe

Na mwandishi wetu Kamati ya fedha (FUM) imefanya ukaguzi wa ujenzi wa shule mpya ya Msingi Umoja yenye Mchepuo wa Kingereza iliyopo Ilenge kata ya KyimoMwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mheshimiwa Mpokigwa Mwankuga ndiye aliyeongoza kamati hii ambapo…

1 February 2024, 17:36

Chunya yafanikiwa kujenga na kukamilisha miradi ya maendeleo

Na Hobokela Lwinga Wilaya ya Chunya mkoani mbeya imesema kwa miaka mitatu kuanzia mwaka 2021-2023 imefanikiwa kujenga jengo la utawala lenye thamani ya Zaidi ya  billion mbili. Akiwasilisha  taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika mkutano na waandishi wa…

31 January 2024, 08:51

Wanawake, vijana kunufaika na mikopo kwa wakati

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Mungano  wa  Tanzania Dkt.  Philip  Mpango  ameziagiza halmashauri zote  nchini  kuharakisha   mchakato wa  upatikanaji fedha  za maendeleo  ya  vijana,  wanawake   na watu wenye ulemavu  kwa lengo la kuchochea uchumi kwa jamii na taifa. Kadislaus…

30 January 2024, 17:38

Kamati zote zijengewe uwezo usimamizi miradi

Na mwandishi wetu Mkuu wa wilaya ya Chunya Mrakibu Mwandamizi wa Uhamiaji Mhe. Mbaraka Alhaji Batenga ameagiza kamati zote za ujenzi zinazosimamamia Miradi mbalimbali ya Ujenzi wilayani Chunya zijengewe uwezo wa kusimamia miradi husika ili watakapokiuka maelekezo waweze kuchukuliwa hatua…

26 January 2024, 10:53 am

Wananchi Mikumi wamshuru SSH kwa mradi wa Regrow

Na Mwandishi wetu. Wakazi waishio pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa Mikumi wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha wanafanikiwa kubadilisha maisha yao kiuchumi kupitia Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza…