Radio Tadio

Maendeleo

October 9, 2023, 4:47 pm

Makete kutumia shilingi bilioni nne miradi ya maendeleo

Kutokana na chanagamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa wilaya ya Makete hususani katika miundombinu ya sekta za elimu, afya, kilimo na ujenzi serikali imetoa fedha zaidi ya bilioni 4 kutatua changamoto hizo. Na Aldo Sanga Zaidi ya bilioni nne (Tsh. 4,489,684.61)…

8 October 2023, 3:04 am

Kero ya barabara yawazidia wana Kilimbu, Msalala

Licha ya ahadi kadhaa kuendelea kufanyiwa kazi kwa wananchi wa Msalala lakini bado kero ya barabara ni kubwa katika kijiji cha Kilimbu. Na Zubeda Handrish- Msalala Mbunge wa Jimbo la Msalala Iddi Kassim Iddi akiwa katika kijiji cha Kilimbu kata…

6 October 2023, 7:30 am

Mwashegeshi wamkataa afisa mtendaji wa kijiji

Maafisa watendaji wa kata wilayani Maswa wametakiwa kuitisha vikao vya vitongoji, vijiji na kata vilivyopo kisheria ili kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Na Alex Sayi Maswa Simiyu Wananchi na wakazi wa kijiji cha Mwashegeshi kata ya Nguliguli wamemuomba mkuu…

2 October 2023, 3:48 pm

Pemba waomba kuongezewa ATM

Katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja, wateja wa benki ya NMB wametakiwa kutoa maoni yao kila wanapoona changamoto katika utoaji wa huduma kwa kupitia visanduku hivyo vya maoni . Na Is- haka Mohammed Afisa Mdhamin Ofisi ya Rais Ikulu…

1 October 2023, 6:56 pm

Jumuiya ya Serikali za Mitaa Zanzibar yapata viongozi

Na Mary Julius Kaimu katibu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ALAT Muhammed Ahmed Maje amesema utekelezaji wa maendelo katika nchi hufanywa kwa kuanzia katika mamlaka za serikali za mitaa. Akizungumza wakati akifungua Mkutano wa uchaguzi wa jumuiya ya serikali za mitaa…

1 October 2023, 6:00 pm

Wazazi Kasekese washauriwa kuunda kamati ya chakula

Wazazi na walezi wa Kagunga kata ya Kasekese wilayani Tanganyika wameshauriwa kuunda kamati ya chakula. TANGANYIKAWazazi na walezi wa kijiji cha Kagunga kata ya Kasekese wilayani Tanganyika mkoani Katavi wameshauriwa kuunda kamati ya chakula kwa ajili ya mwaka mpya wa…

29 September 2023, 9:15 pm

GGML yafanya makubwa maonesho ya 6 ya madini

Geita Gold Mine Limited umeendelea kuwa mgodi wa mfano katika masuala ya teknolojia ya madini na elimu kwa wananchi. Na Zubeda Handrish- Geita Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa kiasi cha Sh. milioni 150 kudhamini Maonyesho ya Sita…

28 September 2023, 11:29 pm

Baraza la madiwani Mpanda lapitia bajeti ya fedha

Baraza la Madiwani Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wafanya kikao kifupi cha mapitio ya bajeti ya fedha kwa mwaka 2022 – 2023. Na Mwandishi wetu – MpandaBaraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi limefanya kikao kifupi…