Radio Tadio

Maendeleo

29 November 2023, 09:57

Serikali kutumia bilioni 40 kukarabati meli mbili ziwa Tanganyika

Serikali inatarajia kutumia jumla ya Shilingi Bilioni 40 kukarabati meli kongwe ya abiria na mizigo ya MV Liemba pamoja na meli ya mafuta ya MT Sangara yenye uwezo wa kubeba lita laki nne za mafuta ambayo  matengenezo yake  tayari yameanza. Akizungumza baada kutembelea na…

23 November 2023, 18:27

Mbeya kukaguliwa miradi ya maendeleo

Na Hobokela Lwinga Mkuu wa mkoa wa Mbeya mh.Juma Zuberi Homera anatarajia kuanza ziara katika halmashauri za Jiji la Mbeya na Mbeya Dc lengo likiwa ni kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali. Akitoa taarifa ya ziara hiyo kwa vyombo…

23 November 2023, 10:18 am

Rungwe yakusanya 122.22% ya mapato robo ya kwanza

Elimu ya ulipaji wa kodi inayotolewa kwa jamii imeonesha matokeo chanya kwa baadhi ya halmashauri hapa nchini kwa kuvuka malengo ya ukusanyaji wa mapato. RUNGWE-MBEYA Na lennox mwamakula Halmashauri ya wilaya ya Rungwe katika kipindi cha robo ya kwanza kuanzia…

21 November 2023, 3:17 pm

Tozo za maegesho zawakwamisha bodaboda

RUNGWE-MBEYA Sheria ndogo zinazopitishwa kwenye vikao vya mabaraza ya madiwani kukwamisha baadhi ya shughuli za kimaendeleo kwenye maeneo husika. Na Lennox mwamakula Kutokana na kuwepo kwa kamatakamata ya vyombo vya moto na kutozwa faini ya maegesho waendesha pikipiki maarufu bodadoda…

16 November 2023, 4:02 pm

Tumbatu kunufaika na mradi wa maji baada ya kukamilika

Picha ya Tangi la maji lilojengwa tumbatu ambalo linauwezo wa kuingia lita milioni moja. Picha na Vuai Juma Kukamilika kwa mradi kutapunguza tatizo la maji kisiwani tumbatu kwa kiasi kikubwa. Picha ya katibu tawala Tumbatu akiambatana na viongozi wengine katika…

16 November 2023, 10:23 am

Watendaji wa Kata Mafinga Mji wakabidhiwa Pikipiki.

Na Mwandishi Wetu. Jumla ya pikipiki 7 zenye thamani ya shilingi 22,129,100/-zimekabidhiwa kwa watendaji wa Kata nne za pembezoni na wakusanya mapato Katika Halmashauri ya Mji Mafinga ili kuboresha utendaji kazi na ukusanyaji wa Mapato. Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi…

9 November 2023, 14:55

Serikali yaombwa kuharakisha ujenzi wa daraja Chunya

Na mwandishi wetu Wanachi wa vijiji Lualaje na Mwiji kata ya Lualaje halmashauri ya wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa daraja la Lualaje linalounganisha kata hiyo na Mapogolo wilaya ya Chunya kabla ya msimu wa mvua…