Elimu
4 July 2023, 11:18
Karagwe: DC aridhishwa utekelezaji wa miradi ya elimu
Mkuu wa wilaya ya Karagwe Julius Laiser akiwa katika shule ya msingi Kambarage iliyopata fedha za mradi wa boost: Picha na Eliud Henry Mkuu wa wilaya ya Karagwe Julius Laiser amekagua na kuridhishwa na ujenzi wa vyumba vya madarasa chini…
4 July 2023, 8:20 am
Mhe. Sanga aungana na wadau kukarabati Shule Unenamwa-Makete
Mbunge Sanga aunga jitihada za wadau kwenye Elimu
4 July 2023, 8:17 am
Waziri Pindi Chana akabidhi Bati 200 Iwawa Sekondari
Waziri Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana akabidhi bati 200 Iwawa Sekondari
3 July 2023, 12:55 pm
Kigoma: Serikali kuwachukulia hatua wazazi wasiowapeleka watoto shule
Kutokana na wanafunzi kutojiunga na masomo ya sekondari na wengine kuchelewa kujiunga na masomo, serikali yaahidi kuendelea na zoezi la kuwakamata wazazi wanaokiuka amri hiyo kwa kutumia sheria mbalimbali Na Glory Kusaga Changamoto ya baadhi ya wazazi kutokuwa na mwamko…
3 July 2023, 12:37 pm
DC Naano: Serikali wilaya ya Bunda yachukua hatua kuboresha elimu shuleni
Ukosefu wa huduma ya chakula shuleni, miundombinu thabiti chanzo cha utoro na kufeli mitihani kwa wanafunzi By Edward Lucas Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe. Dkt Vicent Naano amesema serikali wilayani Bunda imechukua hatua mbalimbali kuboresha elimu ikiwa ni pamoja…
3 July 2023, 12:22 pm
Zaidi ya bilioni moja kujenga shule za msingi Tabora
Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 1 na milioni 300 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya za msingi kwenye kata za Mtendeni, Mbugani na Tambukareli manispaa ya Tabora ili kuondoa tatizo la upungufu wa madarasa katika manispaa hiyo. Na…
28 June 2023, 17:09
Kamati za shule zatakiwa kuwashirikisha wazazi kuleta mabadiliko
Ahadi hiyo wameitoa wakati wa kufungwa kwa mafunzo ya uwajibikaji na ufatiliaji kwa jamii yaliyotolewa na shirika lisilo la kiserikali la AFNET kuanzia 27-28 Juni jijini Dodoma. Na Seleman Kodima. Wajumbe wa kamati za shule katika kata nne wilayani Chamwino…
22 June 2023, 16:14
Wananchi Chali Isanga waahidiwa shule ya sekondari
Wanafunzi wa kijiji hicho wamekuwa wakilazimika kutembea kilomita zaidi ya 16 kufuata shule ya sekondari Chokopelo. Na Bernad Magawa. Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Comredi Daniel Chongolo ameahidi kujenga shule ya Sekondari kijiji cha chali Isanga wilayani Bahi…
13 June 2023, 13:55
Elimu ya TEHAMA yachochea idadi ya wasichana nyanja ya teknolojia
Na Mindi Joseph. Wanafunzi wa kike wamesema uwepo wa elimu ya TEHAMA inayotolewa na wadau imechochea kuongeza idadi ya wasichana kwenye nyanja ya teknolojia. Taswira ya habari imezungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule ya Mnadani sekondari wamesema elimu hiyo…
13 June 2023, 13:11
Ndaki ya sayansi UDOM yaanza programu huduma kwa jamii masomo ya sayansi
Wana mpango wa kuweka ushirikiano na jiji la Dodoma idara ya elimu ili kufkia shule nyingi zaidi . Na Mariam Matundu. Ndaki ya sayansi asilia na hisabati kutoka chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wameanza programu ya huduma kwa jamii katika…