Radio Tadio

Elimu

12 Julai 2023, 3:07 um

Mwenge wazindua madarasa tisa Chitengule sekondari

Mbio za mwenge kitaifa bado zinaendelea mkoani mara leo mbio hizo zipo halmashauri ya wilaya ya Bunda ambapo miradi takribani 7 imetembelewa katika hatua za uwekaji wa jiwe la msingi na mingine kuzinduliwa. Na Thomas Masalu Mwenge wa uhuru 2023…

10 Julai 2023, 11:56

Wahitimu Kigoma watakiwa kufundisha maadili mema kwenye jamii

Suala la maadili kwenye jamii limeendelea kuwa changamoto ambapo wahitimu wa vyuo mbalimbali wametakiwa kuwa mfano kwa jamii na kuhimiza maadili ili kuwa na kizazi chenye maadili mazuri. Na Lucas Hoha. Wito umetolewa kwa wanafunzi wanaomaliza masomo katika kada mbalimbali…

8 Julai 2023, 1:10 um

Mazingira fm waipa tano TADIO kwa mafunzo

Mtandao wa redio za kijamii Tanzania TADIO waendelea kuwajengea uwezo waandishi wa habari kutoka redio za kijamii namna ya kutumia mitandao ili iwe fursa kwao. Na Catherine Msafiri na Avelina Sulusi Wito umetolewa kwa viongozi wa redio za kijamii kusimamia…

4 Julai 2023, 3:02 um

Redio jamii sasa kidijitali zaidi

Kutokana na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano hapa nchini, Mtandao wa Redio za Jamii Tanzania (TADIO) umeendelea kuzijengea uwezo redio hizo ili kujiimarisha kimtandao zaidi. Na Mrisho Sadick – Geita Redio za kijamii 11 wanachama wa mtandao wa TADIO kutoka…