Afya
14 November 2023, 20:41
Maelfu Mbeya Wajitokeza Kupima Afya Kwenye Maadhimisho Ya Siku Ya Kisukari Dunia…
Na Daniel Simelta Tarehe 14 Novemba kila mwaka, duniani kote huadhimishwa Siku ya Kisukari Duniani. Maadhimisho haya yanafanyika kwa lengo la kuongeza uelewa kuhusu kisukari, kuhamasisha watu kuchukua hatua za kuzuia na kudhibiti ugonjwa huo, na kushirikiana katika kupambana na…
14 November 2023, 4:21 pm
Ujenzi wa kituo cha Afya Mlowa barabarani kupunguza adha ya akina mama kujifungu…
Pamoja na uwepo wa Hospitali hiyo ya wilaya lakini bado wana mikakati ya kuboresha zahanati katika kijiji cha Mlodaa. Na Victor Chigwada. Wakazi wa Kata ya Mlowa Barabarani Wilayani Chamwino wamesema ujenzi wa kituo cha afya ndani ya Kata yao…
14 November 2023, 4:12 pm
Mradi wa USAIDS Kizazi Hodari wawafikia watoto 9000 Iringa na Njombe.
Na Denis Nyali Jumla Ya Watoto 9000 Walioambukizwa Virusi Vya Ukimwi Wamefikiwa Na Mradi Wa USAIDS Kizazi Hodari Unaotelelezwa Kwa Mkoa Wa Iringa Na Njombe Na Kuwaunganisha Na Vikundi Mbalimbali Katika Kuwawezesha Kupata Kiuchumi. Akizungumza Na Nuru Fm Mkurugenzi Wa Mradi Huo Doroth…
14 November 2023, 12:44 pm
Madhara kwa mama mjawazito kutumia vyakula visivyo sahihi
Kipindi hiki kinaeleza madhara ya kiafya kwa mama na mtoto amabae hazingatii vyakula vyenye lishe bora kipindi cha ujauzito, na namna ya vyakula sahihi vyenye lishe anavyotakiwa kutumia.
14 November 2023, 12:12 pm
Nafasi ya wazazi wakati wa hedhi ya watoto-Kipindi
Kipindi hiki ni maalum kwa wazazi kuwa na utaratibu wakuwapa elimu ya hedhi watoto wao wakati wanapokuwa kwenye hedhi ili kuwalinda na madhara yatokanayo na Afya ya uzazi.
13 November 2023, 3:13 pm
Sukari, shinikizo la damu isipotibiwa mapema husababisha matatizo zaidi
Na Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa endapo Magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu ya damu yasipopatiwa matibabu mapema yanaweza kusababisha magonjwa mengine makubwa. Magonjwa hayo ni pamoja na ugonjwa wa figo ambapo Dkt. Amina Omary kutoka Hospitali ya rufaa ya…
12 November 2023, 11:34 am
Wizara ya afya zanzibar yafanya muendelezo wa uchunguzi wa saratani ya shingo ya…
Picha ya Wazriri wa Afya Zanzibar akizungumza na watendaji wa Hospitali ya Najing ya nchini China kuhusiana na zoezi la uchunguzi WA shingo ya kizazi. Picha na Habari maelezo “Saratani ya shingo ya kizazi ni moja ya ugonjwa hatari sana…
12 November 2023, 11:16 am
Wanafunzi Tumbatu washauriwa kuchunguuza afya zao.
Picha ya wanafunzi wa skuli ya sekondari Tumbatu. Na Vuai Juma. Na Vuai Juma Wanafunzi Kisiwani Tumbatu wameshauriwa kuwa na tabia ya kuchunguuza afya zao mara kwa mara ili kuweza kufahamu mwenendo wao wa kiafya. Ushauri huo umetolewa na Daktari…
November 9, 2023, 6:33 am
Wananchi Ileje waiangukia serikali ukamilishaji wa zahanati
Na Denis Sinkonde, Ileje Wananchi wa kijiji cha Mbembati kata ya Lubanda wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamejenga zahanati ya Kijijini hapo kwa nguvu zao Ili kupunguza adha ya kusafiri umbali wa km 8 kufuata huduma katika kituo cha afya…
8 November 2023, 15:35
Momba kusimamiwa na serikali ujenzi wa vyoo kwa gharama zao
Serikali ya halmashauri ya wilaya ya Momba imewaagiza watendaji wa vijiji na kata kutumia sheria ndogo za maeneo yao kutoza faini kwa wananchi ambao hawana vyoo bora na kuzitumia katika ujenzi wa vyoo bora kwa kaya ambazo zimetozwa faini hiyo…