Radio Fadhila
Radio Fadhila
23 March 2021, 9:12 AM
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi-CCM Wilaya ya Masasi wamlilia Rais Dkt. John Pombe Magufuli na kueleza kuwa taifa limepoteza kiongozi shujaa na mpenda maendeleo na kwamba alikuwa ni mtetezi wa wananchi wanyonge hivyo wataendelea kumkumbuka milele. Wanachama hao leo Mach,…
20 March 2021, 6:23 AM
Tatizo la mimba za utotoni limekuwa kubwa duniani na linaongezeka siku hadi siku hasa katika jamii ya uchumi wa chini. Sababu zinazopelekea jamii ya uchumi wa chini kukumbwa sana na tatizo hilo ni ukosefu wa taarifa za afya ya uzazi…
18 March 2021, 5:52 AM
18 March 2021, 4:03 AM
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021 katika hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya maradhi ya moyo. Rais Magufuli…
16 March 2021, 4:08 AM
HOSPITALI ya Mkomaindo iliyopo halmashauri ya mji Masasi mkoani Mtwara imenunua mashine tatu za kisasa ikiwemo mashine ya X-ray ambayo ni Digital X-ray Mashine ambapo mashine hizo tatu zina thamani ya sh.161 milioni lengo likiwa ni kuboresha upatikanaji wa huduma…
10 March 2021, 11:45 AM
Hakimu mkazi mfawidhi mahakama ya mwanzo lisekese masasi LIGHTINESS MASIMBA alipokuwa akizungumza na kipini cha amka na radio fadhila akizungumzia maswala ya ndoa na taraka ameeleza maana ya ndoa kwa mujibu wa sheria ya ndoa sheria number 29 iliyofanyiwa marejeo…
8 March 2021, 4:01 PM
Maadhimisho ya siku ya wanawake dunia ambayo huazimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 8 mwezi wa 3 yamefikiwa kilele chake hii leo , maadhimisho hayo. katika mkoa wa mtwara yamiadhishwa katika wilaya ya msasasi uwanja wa boma na kuhudhuliwa na viongozi…
4 March 2021, 3:08 PM
4 March 2021, 4:12 AM
TAASISI ya kuendeleza Nishati Asili Tanzania (TaTeDo) kwa kushirikiana na Shirika la WWF wameanza kutoa mafunzo kwa wajasiliamali wadogo wanawake zaidi ya 20 kutoka katika vikundi 10 wilayani Masasi mkoani Mtwara ya kuwajengea uwezo wa umuhimu wa matumizi bora ya…
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara