Recent posts
14 November 2025, 10:13 AM
Mtoto achomwa mikono kisa korosho
“Mtuhumiwa huyu ambaye ni Katibu wa UVCCM kata ya Namalenga licha ya kumchoma moto mtoto wake wa kambo, lakini pia amemuadhibu vibaya mtoto mwingine ambaye alishirikiana nae wakati wa kuuza korosho” Na Neema Nandonde Salumu Hussein Maona mkazi wa kitongoji…
29 September 2025, 12:28 AM
Umaki watembelea shule ya Rondo, waunga mkono juhudi za taasisi
‘Kutoa ni moyo si utajiri’, huu ni msemo unaofahamika sana na ukiwa na lengo la kukumbusha namna kutoa sehemu za Mali zetu kwa wenye uhitaji, hivyo wa mama hawa wamefanya kwa sehemu yako. Katika kuendelea kuunga mkono jitihada za Taasisi…
22 September 2025, 7:50 PM
CCM Masasi mguu sawa ujio wa Dkt Samia
“Kama wana Masasi jumanne ya septemba 23, 2025 tuna kila sababu ya kwenda kumsikiliza mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, maana kuna mengi mazuri ameyatenda kwetu“ Na Neema Nandonde Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Masasi mkoani Mtwara kimesema kimejipanga…
19 September 2025, 12:43 PM
Wananchi acheni kupuuzia maelekezo yanayohusu usafi wa mazingira-Ame
Wakati mwingine wananchi hususani wanaoishi vijijini wanaishi kwa mazoea, kama mtu amezaliwa na kukulia kwenye nyumba isiyo na shimo la taka na yeye analazimisha aishi hivyo siku zote Na Neema Nandonde Kuelekea maadhimisho ya siku ya usafi duniani ambayo hufanyika…
14 September 2025, 6:14 PM
Wanafunzi waanzilishi wakutana na kurudisha shukrani Rondo
Kuzaliwa mwanaume ni zawadi ila kuwa mwanaume ni maamuzi..msemo huu ukimaanisha kuwa mwanaume ni kutambua majukumu yanayo kupasa na kuyafanyia kazi. Ni katika maafali ya 24 yaliyofanyika shule ya wavulana Rondo Junior Seminar iliyopo Mtama Mkoa wa Lindi ambapo na…
26 August 2025, 7:53 PM
Wakazi Masasi wasisitizwa chanjo kwa wanyama wanaofugwa
“Tukichanja mbwa wetu, siku akikung’ata kutakuwa na madhara ya kawaida, tuhakikishe mbwa wanachanjwa ili kuepuka ugonjwa hatari wa kichaa cha mbwa“ Na Neema Nandonde Mkuu wa Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Rachel Kassanda amewataka wakazi wa wilaya hiyo kuwapa chanjo …
5 August 2025, 3:30 PM
Kumnywesha maji mtoto aliye chini ya miezi 6 kunaharibu mfumo wa chakula
“Jamii iache kuishi kwa mazoea kwenye suala la malezi hususani unyonyeshaji wa maziwa ya mama ili kuwaandaa watoto wenye ukuaji bora kimwili na kiakili” Na Neema Nandonde Kufuatia maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji duniani, jamii wilayani Masasi mkoani Mtwara, imeaswa…
1 July 2025, 8:11 AM
Masasi: Muumini atuhumiwa kumuua mchungaji baada ya kumuombea
“Victor Francis alikuwa ni muumini wa muda mrefu wa kanisa hilo na alikuwa akihudumiwa kwa maombi na marehemu Mchungaji kwa kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja kutokana na matatizo ya kiafya“ Na Neema Nandonde Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia…
26 June 2025, 11:19 AM
MAMCU yaongoza njia kupambania ushirika kwa vitendo
“Mnaweza kusafisha ufuta vizuri na mkaufunga kwenye vifungashio, lakini watu wasio waaminifu wakaenda mbele wakabadilisha vifungashio wakaweka uchafu, MAMCU tutalidhibiti hilo kwa kuzalisha vifungashio vyetu vitakavyohifadhi mazao moja kwa moja” Na Neema Nandonde Chama kikuu cha Ushirika MAMCU kinachohudumia wakulima…
23 June 2025, 4:09 PM
MANAWASA yakaribia kupata ufumbuzi kero mgao wa maji Masasi
“Kutokana na ongezeko la wateja wanaohitaji huduma ya maji kupitia MANAWASA, kumesababisha chanzo chetu kuzidiwa hivyo kulazimika kuwa na mgao wa maji ili kila mteja asikose kabisa maji“ Na Neema Nandonde Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Masasi-Nachingwea…