Radio Fadhila

Usimamizi wa ubora katika mazao huleta tija kwa wakulima, taifa

4 October 2024, 7:50 PM

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Patrick Sawala amefanya kikao na waendesha maghala ,Viongozi wa Amcos pamoja na wasifirishaji wilayani Masasi.

Katika kikao hicho Mhe.Sawala amewataka wadau hao kusimamia Ubora wa zao la korosho ili kuhakikisha linaleta tija kwa wakulima,Mkoa na taifa Zima kwa Ujumla.

sambamba na hayo Mhe.Sawala amewataka wadau hao kujiandaa na la zoezi la uandikishaji wa wapiga kura litakalofanyika Octoba 11 hadi 20,2024 kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa