Radio Fadhila
Radio Fadhila
27/03/2026, 13:38

Wakati tunafurahia kukua kwa tekinologia na kurahisisha maisha kupitia mitandao ya kijamii yapo madhara yanayojiyokea kutokana na tekinologia hizo pindi zinapotumiwa vibaya
Na Lilian Martin
Wakati wa kipindi cha jamii tunzungumze na radio fadhila wadau wameeleza namna wanavyoifahamu Ai faida na hasara zake ambapo wengi wameegemea upande wa hasara zaidi ambapo hii usababisha tatizo katika jamnii
lakini Upendo alizungumza juu hasara zinazoweza kujitokeza pindi mtu anapoitumia Ai kusambaza habari zisizo na uhalisia kwa lengo la kumchafua Mtu
bado hatukuishia hapo tuliendelea kuzungumza na wadau kuona wanazungumziaje kukua huku kwa tekinoligia
Lakin̈i pia Devan yeye hajawahi kuitumia ila kuna namna anavyoyasikia matumizi ya Ai kwa rafiki zake