Radio Fadhila
Radio Fadhila
09/03/2026, 11:53

Na Lilian Martin
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (ccm) wilayani Masasi Bi. Mariam kasembe amewapongeza wanawake waliojitoa kuhudumia watoto wenye mahitaji katika kituo kilichopo kata ya Napupa mtaa wa wapiwapi
Licha ya pongezi hizo Bi Mariam alimuomba Mbunge wa jimbo la Masasi ambaye ni waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleao ya makazi Mh. Leonard Akwilapo atakapopata nafasi aweze kutembelea katika kituo hicho na kuona jitihada zinazofanywa na wanawake hao
hata hivyo aliendelea kusisitiza juu ya upendo na malezi bora katika familia ili kupunguza wimbi la watoto wa mitaani
