Radio Fadhila
Radio Fadhila
29 May 2025, 7:01 PM

Licha ya kuzaliwa akiwa mlemavu wa viungo Daisy hufanya shughuli zake kwa kutumia mikono na kutengeneza vitu mbalimbali ambavyo humfanya kumuingizia kipato.
Na Lilian Martin
Daisy Ajetu ni mama wa Familia anaishi Masasi mtaa wa Nyasa anajishughulisha na ubunifu wa vitu mbalimbali kama kofia za kufuma na uzi,Mashuka na Mikoba shughuli zinazomfanya kujipatia kipato.
licha ya kuwa mlemavu Daisy afurahiswi na kupita mitaani na kuomba misaada akisema kuwa anaona kama wanafanya kazi kubwa sana ya kuzunguka na kupigwa na jua
karibu umsikilise akieleza historia yake na vitugani anafanya katika kipindi cha msakatonge
