Radio Fadhila

Mashabiki Simba SC wawafikia wenye mahitaji Masasi

4 August 2024, 8:59 PM

Mashabiki wakiwa shule maalum

Wanachama na Mashabiki wa Timu ya Simba sports Club Wilaya ya Masasi wamesherekea kilele cha Tamasha la ubaya ubwela kwa kutoa misaada mbalimbali kwa wahitaji

Tamasha hilo limehitimishwa kwa Kutoa Misaada ya kijamii katika Hospitali ya Mkoaindo,Magereza Masasi Mjini,Kituo cha Polisi Masasi na Shule ya mahitaji maalumu Mtandi

tukiwa katika furaha sikuzote ni vyema kuwakumbuka na wengine wenye uhitaji hii ndiyo sababu tumewafikia watu hospitali na hata watoto wenye ulemavu katika shule ya Mtandi.wamesema mashabiki hao