Radio Fadhila
Radio Fadhila
25 January 2023, 4:56 PM
Hali ya miundombinu ya elimu katika shule ya msingi namajani imekuwa ni changamoto kubwa mpaka sasa shule ya msingi namajani inamadarasa manne tu, huku baadhi ya wanafunzi wakisoma chini ya mti. Hayo yabainishwa na diwani wa kata ya namajani Faraji Yahaya Wadi


