Radio Fadhila
Radio Fadhila
24 January 2022, 5:06 AM
MASASI: Uzinduzi wa wiki ya sheria nchini. Matembezi yanaanzia Uwanja wa Fisi hadi Uwanja wa BOMA ambapo uzinduzi rasmi utafanyika.

Kaulimbiu: “Zama za mapinduzi ya nne ya viwanda, safari ya maboresho kuelekea Mahakama mtandao”
Kaulimbiu hii inahamasisha wananchi kutumia njia ya mtandao kupata huduma za kimahakama
