Ndoa Na Taraka Katika Jamii!!!
10 March 2021, 11:45 AM
Hakimu mkazi mfawidhi mahakama ya mwanzo lisekese masasi LIGHTINESS MASIMBA alipokuwa akizungumza na kipini cha amka na radio fadhila akizungumzia maswala ya ndoa na taraka ameeleza maana ya ndoa kwa mujibu wa sheria ya ndoa sheria number 29 iliyofanyiwa marejeo mwaka 2019 inaeleza ndoa ni muunganiko wa hiaali baina ya mwanamke na mwanaume namuunganiko huo unakuwa na kusudi la kudumu katika maisha hayo yote pia amezungumzia sheria inayo ruhusu mtoto kuolewa akiwa chini ya umri wa mika 14 kwa izini ya wazazi au kuoa akiwa nchini ya umri wa miaka 17 kwa izini yz wazazi
Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania hairuhusu ndoa ya jinsi moja (mwanamke kwa mwanamke au mwanaume kwa mwanaume)ili ndoa iwe halalila lazima ndoa inayofungwa mmoja awe mwanamke na mwingine awe mwanaume ndoa za Tanzania hairuhusu kuoana ndugu kwa ndugu katika muunganiko wa ndoa kuna habari za taraka na kuna migogoro ya ndoa
KIDA MWANGESI wakili wa kujitegemea kutoka SPERO ATTORNEYS masasi amezungumzia ndoa badilifu ni ndoa inayokuwa na mazaifu kama mmoja akawa na magonjwa ya kuridhi ,changamoto ya masawala ya uzazi , changamoto katika maswala ya kushiriki tendo la ndoa, kutengana zaidi ya miaka mitatu ,kifungo kisipo pungua miaka mitano, mweza kupata kichaa hivyo mahakama inaweza kutengua ndoa kwa mujibu wa sheria
Pia amezungumzia maswala ya taraka kunabaadhi ya vitu ambavyo hufikiwa mpaka mtu anaamua kutoa taraka kama vile ukatili ambao umevuka kiwango kuhatarisha maisha na ametoa hamasa kuwa unapo ona ukatili umezidi sana katika ndoa chukua hatua ya kuomba taraka au kutoa taarifa polisi ili kunusuru hasara inayoweza kutokea mwandoa mmoja anayeta kuimba mahakama itengue ndoa mahakamani akiwa ambatanisha pamoja na fomu no3 ambayo ameipata kutoka baraza la upatanishi
Huu ni mwendelezo wa mazungumza na wanasheria amabao hufikaradio fadhila katika kipindi cha amka na radio fadhila kwa ajili ya kuendesha maada mbalimbali zinazo husu sheria ikiwemo migogoro ya aridhi .