Mufindi FM

Fahamu utaratibu wa upigaji kura

26 November 2024, 12:47

Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya mji Mafinga Bi Fedelica Myovela akiwa katika studio za redio Mufindi. Picha na Marko Msafili

Kesho jumatano Novemba 27 2024, ndiyo siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa, je unafahamu utaratibu wa upigaji kura siku hiyo kama haki yako ya msingi?

Msikilize msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya mji Mafinga Bi. Fedelica Myovela, akieleza kuhusu utaratibu wa upigaji kura na kutangazwa kwa matokeo.